• in

  MAISHA YA JANETH: Kisa Cha Kusikitisha Sana Cha Mtoto

  MAISHA YA JANETH

  Simulizi Hii Inahusu Maisha ya Janeth, Binti Mdogo Alie Pitia Maisha Magumu. Soma Mpaka Mwisho Kujua Kilicho Jiri, Je Maisha ya Binti Huyu Yaliendeleaje. Mtunzi wako ni Mimi @aisha-mapepe SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA: MAISHA YA JANETH. Kεngεlε ya kutὀka darasani iligὀngwa, wanafunzi wa shulε ya msingi wakaanza kutὀka madarasani huku wakifukuzana wεnginε wakipiga kεlεlε ilimradi […]

  Read More

 • in

  MTOTO WA MAKAME WA MAKAME: SIMULIZI ZA KALE ZA KUSISIMUA.

  MTOTO WA MAKAME WA MAKAME - HADITHI

  Hadithi yetu hii ya mtoto wa makame wa makame imehadithiwa na bibi Subira Abassi. Soma hadi mwisho Hadithi hii Utafahamu jinsi alivyo okoa kijiji chao. HADITHI YA MTOTO WA MAKAME WA MAKAME Hapo zamani za kale alikuwepo bwana mmoja akiitwa Makame wa Makame, akajenga nyumba na akatafuta mke akaowa. Walikaa na walibahatika kupata mtoto wa kiume. Waliendelea […]

  Read More

 • in

  Hadithi za Eric Shigongo: Simulizi Zote Zipo Bure Download (PDF)

  Hadithi za Eric Shigongo Simulizi Zote Zipo Bure Download PDF

  Hadithi za Eric Shigongo: Simulizi Zote Zipo Bure Download (PDF). Download Simulizi za Erick Shigongo Bure Kabisa Bila Malipo Yeyote. 2023 Historia Fupi ya Erick Shigongo. Eric James Shigongo (alizaliwa wilayani Buchosa, zamani Sengerema, mkoa wa Mwanza, 10 Agosti 1969) ni mbunge wa Buchosa katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania (kuanzia tarehe 25 […]

  Read More

 • in

  ELIMU YA AWALI (Basic Education): Past Papers and Syllabus (PDF)

  ELIMU YA AWALI - BASIC EDUCATION

  Elimu ya Awali / Basic Education Studying Materials For Kids and Teachers Curriculum & Full Syllabus. Mtaala Mzima wa Kufundishia Kwa Mwalimu wa Shule za Msingi ikiwemo Chekechea Awali. Mtaala wa kufundishia kutoka Tanzania Institute of Education (TIE) PDF Download. Pamoja na Vitabu, Maswali na Majibu kwa Wanafunzi na Mafunzo Mengine ya msingi kwa Watoto. […]

  Read More

 • in

  Hadithi ya Subiri ni sali: Simulizi za Kale Zenye Mafunzo

  SUBIRI NI SALI - HADITHI

  Hadithi yetu hii ya kusisimua (Subiri ni sali) imehadithiwa na mzee Khalfan Mwita, Soma hadi mwisho simulizi hii nakuhakikishia huto jutia, lazima itakufundisha kitu. SIMULIZI ZA KALE: HADITHI YA SUBIRI NI SALI. Hapo zamani za kale alikuwepo mfanyabiashara ambaye aliheshimika kama mfalme wa mji. Alikuwa na wafanyakazi wa kila aina. Siku moja alipokuwa akijiandaa kwenda […]

  Read More

 • in

  NISAMEHE MWANANGU: SIMULIZI MPYA OCTOBER (2022)

  NISAMEHE MWANANGU: SIMULIZI MPYA OCTOBER (2022)

  Leo Katika Simulizi Hii Mpya Katika Mwezi Huu wa Kumi (October). Simulizi Mpya Hii Inayo Kwenda kwa Jina la “NISAMEHE MWANANGU” Imeandikwa na Bwana Robert Mfinanga, Kisha Nikapatiwa Mimi Aisha Mwenye Nyota yangu Mjini Kuwawasilishia Ninyi wapenzi wa Simulizi Hapa Africona. Nisiseme Sana Tuanzanze Simulizi Yetu. SIMULIZI MPYA MWEZI HUU OCTOBER: NISAMEHE MWANANGU. Simulizi Yetu […]

  Read More

 • in

  Simulizi Mpya Mwezi Huu September: “Watoto 100”

  Simulizi Mpya Mwezi Huu September Watoto 100

  Simulizi Mpya Mwezi Huu September: “Watoto 100”. Huu ni Mkasa Ambao Nimesimuliwa Na Mzee Mmoja Utamfahamu Mbele kadri Simulizi Inavyo Kwenda. Mwandishi wa Simulizi ni Jerald Maswa. Leo Aisha Mapepe nimetumika Kama Daraja tu Hapa Kuwa Fikishia Hii Story. “We mzee unatania!” Yαlikuwa ni maneno yαngu yα kwanza baada yα kumsikiliza mzee Izadin. “Mimi nilipokuwa […]

  Read More

 • in

  Mchungaji Mchawi: Simulizi na Mikasa ya Kweli

  Mchungaji Mchawi: Simulizi na Mikasa ya Kweli

  Mchungaji Mchawi, Simulizi na Mikasa ya Kweli. Takribani wiki tatu nilikuwa nafuatilia mkasa wa Brother Steven. Hakika mkasa huo ulinigusa sana nami nikashawishika kusimulia yaliyonikuta katika maisha yangu. Naamini kuwa kuna baadhi ya watu hawakuamini mkasa wa Kaka Steven kama ni wa kweli ama ulikuwa ni wa kutunga. Ninachoamini ni hiki, uchungu wa maumivu ya […]

  Read More

 • in

  USIMSAHAU MUNGU: Simulizi Nzuri Sana

  Usimsahau Mungu

  Usimsahau Mungu, hii ni Simulizi Fupi Inayo fundisha Masuala ya Imani na Msimamo Katika Maisha, Hatakama Unapambana Kutafuta Maisha Kamwe Usimuache Mungu. SIMULIZI: USIMSAHAU MUNGU Kijana wa kiume alimwambia baba yake “nimemuona msichana mzuri sana na ninataka nimuoe hivi karibuni. Ni mzuri sana na ana macho mazuri mno” baba akamwambia sawa mwanangu mlete nyumbani umtambulishe. […]

  Read More

 • in

  I Will Be Back: Simulizi za Kusisimua na Kufundisha

  I Will Be Back

  Aisha mapepe Ndani ya Ubora Wangu nimerudi tena Kwenye Chama la Wana Africona Kukupa Burudani ya Simulizi. Leo Simulizi yetu Imekaa kishua ila Hakuna Kilicho Aribika Karibuni. I Will Be Back Simulizi za Kusisimua na Kufundisha. SIMULIZI ZA KUSISIMUA NA KUFUNDISHA: I WILL BE BACK Sehemu Ya Kwanza (1). Ilikua ni afrajili tulivu sana ya […]

  Read More

 • in

  MAMA USILIE: SIMULIZI ZA KUSISIMUA NA KUFUNDISHA

  Mama Usilie Simulizi

  Mama Usilie ni Simulizi ya Kufundisha na Pia ina Burudisha Sana. Soma Mpaka Mwisho Kufahamu Sababu ya Msemo Neno Hili “Mama Usilie“. Mwandishi Wako ni Yule yule Aisha Mapepe. SIMULIZI FUPI: MAMA USILIE. Alisimama mbele ya kioo chenye urefu sawa na urefu wake. Urefu wa futi tano na pointi nane, akijitazama kwa tabasamu dhoofu. “Ondoka […]

  Read More

Load More
Congratulations. You've reached the end of the internet.