in

BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE: SIMULIZI NZURI SANA

Bibi Mbuya na Wajukuu zake: Simulizi Nzuri Sana ya Kuvutia. Ni Moja Kati ya Simulizi inayoingiliana na Isabelah Pamoja na Penzi la Binti Nguva. Usikose, Mtunzi ni mimi Aisha (@aishamapepe). Nimesimuliwa na Edgar Mbogo Mkasa Huu. Nikaona Tu Share kwa Pamoja…

BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE

SIMULIZI: BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE

Naitwa Edgar nime0na nikusimilie kitu alich0wai kuni fanyia BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE. ilikuwa ni miaka mingi sana kabla baba Isabelah ajafika kijijini matimila na familia yake, mimi nilikuwa wa kwanza kuingia kijijini hap0 nikielekea kijiji cha jilani na matila, mandepende.

ambap0 bibi huyu ambae mwanz0 sikuwai kumtambua, nilikuwa nat0kea mjini s0ngea naenda kuwatembea wakina babu huk0 kijijini, nibaada ya miaka mingi kupita bila kuwa tembelea wazee ha0 ndip0 baba akaniagiza niende nika wasalimie wakina babu na bibi kijijini Mandepwende,

mda ulikuwa umeenda kid0g0 wakati nakatiza kwenye uwanda flani, huku nikaza kuihisi na karibia kijiji flani, kut0kana na sauti za mifug0 mbali mbali kusikika, hap0 nikabla sijaingia Matimila,

na kut0ka matimila kwenda kijijini kwetu mandepwende ni kil0mita ishilini na tan0, kiukweli nilikuwa nimech0ka sana, maana usafiri wapee ulikuwa ni miguu au baiskeli kwa kipindi hich0,..

na kut0ka matimila kwenda kijijini kwetu mandepwende ni kil0mita ishilini na tan0, kiukweli nilikuwa nimech0ka sana,maana

usafiri wapekee ulikuwa ni miguu au baiskeli kwa kipindi hich0, kingine kilich0 nifanya niamini kuwa nimekaribia Matimila ni

kelele za mapl0m0k0 ya maji ya mt0 uli0p0 jilani na kijiji hich0, uli0itwa mt0 matimila, nazani unaukumbuka mdau, baada ya

kutembea kama mita miambili mbele, ndip0 nilip0 amini kuwa nishamefika matimila nakubakiza kil0mita ishilini kufika

mandepwende, baada ya kumw0na binti mm0ja mremb0 sana mbele yangu, tena kwa madhingila ya kijijini husinge amini kama yup0

kule kijijini, kiukweli alikuwa mremb0 aswaaaaa, binti huy0 alikuwa mbele yangu nand00 yamaji kichwani, “samahani dada

unaweza kunisubiri kid0g0” nilimsemesha huku niki0ngeza mwend0 kumkimbilia, yule binti aligeuza shing0 nakunitazama “bila

shaka naweza kukusubiri” bahati nzuri mt0t0 huyu waukweli alisimama kunisubiri huku us0wake ukichanua kwaa tabasamu lilil0

zidisha uzuri wake mala dufu, “mamb0 vipi dada yangu” nilimsalimia baada ya kumfikia “p0a tu za kwak0?” alijibu yule dada

huku taba samu likiendelea us0ni kwake, nika0na hapa naweza kupata mwenyeji maana muda ulikuwa umesha s0nga na kijijini

kwetu bad0 ni mbali, jap0 leng0 lilikuwa ni kuulizia umbali uli0baki mpaka kuingia kijijini, “nik0 p0a kabisa, p0le sana kwa

kukusimamisha nahu0 mzig0 kichwani” nilimwabia huku nikijaribu kums0ma ni mwanamke wa aina gani, “wala husijari kaka yangu,

alafu una0nekana ni mgeni hapa kijijini na unat0kea kijijini hen?” hap0 sikuvunga nika jitambulisha faster, pia nikamweleza

na sehemu nay0 kwenda, “nimeku0na tu maana hapa kijijini hakuna wavulana wazuri kama wewe, mimi naitwa Zamda mjukuu wa bibi

Mbuya, unaweza kuniita Zam” haya sasa Edgar amekutana na mjukuu wa Mbuya nini kitafwata

alafu una0nekana ni mgeni hapa kijijini na unat0kea Mjini hen?” hap0 sikuvunga nika jitambulisha faster, pia nikamweleza na sehemu nay0 kwenda, “nimeku0na tu maana hapa kijijini hakuna wavulana wazuri kama wewe,

mimi naitwa Zamda mjukuu wa bibi Mbuya, unaweza kuniita Zam” kilich0 ni flahisha kwa binti huyu ambae alijitambulisha kuwa ni mjukuu wa bibi mbuya, mdaw0te alikuwa anatabasamu, “sasa huk0 mandepwende, utafika saa ngapi?”

aliuliza yule binti huku akishusha nd00 chini, “kwani ni mbali sana kut0ka hapa?” nili jifanya kuuliza wakati nafahamu fika kuwa ni kil0mita ishilini,

“wee nimbali b0la ulalae hapa kijijini, ilikesh0 mapema nd0 uendelee na safari” ali0ngea binti Zamda au Zam kama anavy0 jiita, hap0 nika0na kuna uwezekan0 wa kupata mwenyeji usiku wale0, ujuwe nini mdau huyu binti anaamasisha mamb0 flani,

“mh sasa nitafanyaje maana hapa kijijini sina ata mtu ninaye mfahamu” niliji fanya kuwaza niki0ngea kwa sauti iliy0 jaa mauliz0 yakuk0sa maada, huku nikisikilizia Zamda kama ataingia kwenye mtegeg0,

du! kamaalikuwa anasubiri ni0ngee hivy0, akadakia faster “twende ukalale kwetu” mh! kwa0 tena mi nilizni kana kaa kanyewe kwenye geth0 lake, “sasa wazazi wak0 utawaambia mimi ni naniwak0”

niliuliza alafu nika mw0na yule binti akicheka kama nimeuliza swali la kijinga, “kwani we ninani wangu?.. simgeni nime kukuta una tafuta sehemu ya kupumzika, ilikesh0 uendelee na safari yak0?” jap0 jibu ake lilikuwa jepesi, lakini bad0 nilikuwa na wasiwasi,

“kwani hakuna nyumba za wageni hapa kijijini?” nilimwuliza ili akisema zip0 ni kachukue chumba alafu nimwalike baadae “hakuna nyumba za kulala wageni,we twende kwetu, tup0 mimi na dada yangu tunaishi na bibi yetu tu!” alisisitiza Zamda,

uwezi amini nilishawishika kwenda kulala kwa0, kikubwa kilich0 nishawishi ni uzuri wa binti huyu na ucheshi wake, hap0 atukuwa na haja ya kuemdelea kusimama pale njiani tuli saidiana kubeba nd00 ile iliy0 jaa maji,

kisha safari ya kwenda nyumbani kwa bibi Mbuya ikaanza, nijani tuli0ngea mengi akinisimulia mamb0 yapale kijijini, na mdafupi baadae tulit0kea kijijini, nakuelekea nyumbani kwa kina Zamda,

ilikuwa nyumba yakwanza kabisa iliy0zungukwa na kichaka, kiukweli manzali yake ili0g0pesha maana kama kunawanyama wakali nilahisi sana kuwa dhuru wakwanza wakazi wa nyumba hii,

tuliingia ndani kwa kina Zamda, kwanza kabisa nilimw0na bibi kizee mm0ja alie valia gauni jeupe, na kilemba cheupe, ambae alip0 ni0na tu! alistuka kid0g0 nakuniangalia kwa jich0 kali sana ambal0 lilinitisha kid0g0,

pili pembeni ya bibi huyu, nili0na kitu ambach0 kilinifanya ni0ne, Zamda hakuwa kitu mbele ya dada yake,… 0k! Mb0g0 Edgar amesha ingia nyumbani kwa bibi Mbuya, unazani nini kitafwatia,

Bonyeza Hiyo Button Iliyo andikwa Next Kusoma Sehemu Inayo Fuata ya, Bibi Mbuya na Wajukuu zake ni Simulizi ya Maisha yenye Ujumbe wa Kufundisha.

Written by Aisha Mapepe

Aisha Mapepe ni Mwandishi wa Simulizi Mbalimbali za Mapenzi, Maisha na za Kuelimisha. Lengo ni Kuburudisha Jamii na Kuondoa Stress za Maisha zinazo tukabili Baadhi Yetu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

PENZI LA BINTI NGUVA SIMULIZI

PENZI LA BINTI NGUVA: SUMULIZI ZA KALE NZURI

IZABELAH Simulizi ya Kusisimua

ISABELAH: SIMULIZI YA KUSISIMUA NA KUFUNDISHA