in

CHEZEA MICHEPUKO WEWE: Soma Maombi ya Wanandoa.

Chezea Michepuko wewe, Soma maombi ya hawa Wanandoa. nakuhakikishia lazima uta cheka tu, Sio kwa vichekesho Hivi. Kwa wale wenye Mchepuko Kazi kwenu.

Kwa Sms za Vichekesho na Mada Pamoja Statu za Vichekesho. Follow me @japhary for Daily Smile. Ndo nimeanza English Course jana, Usishangae icho kidhungu apo 😁.

CHEZEA MCHEPUKO WEWE - VITUKO NA NUSU

VICHEKESHO: CHEZEA MICHEPUKO WEWE.

Siku Moja Majira ya Usiku Wanandoa Wawili Walikuwa wakijiandaa kulala. Ghafla roho wa Mungu aka Washukia Wakakumbuka Kusali siku Hiyo…

Mume akamwambia mke wake:”Funga macho yako tufanye maombi” mume Akaanzisha kwa Kimombo:-“…

  • MUME: Lord I pray for Grace, I pray fo Mercy, I pray fo Joy, I pray fo Love, I pray fo Hope, I pray fo GLORY, I pray 4 Faith, I pray for….”
    Mke akadakia, “Unadhani mimi sina ee” akaanza:-
  • MKE: I pray 4 Loshie, I pray 4 Ostazi, I pray 4 mangi, I pray 4 Masawe, I pray 4 Benson, I pray 4 Onyango, I pray 4 Sheshu, I pray kwa wote niliowasahau!!
    Chezea mchepuko wewe…!!

Hivi ndivyo Vichekesho Vunja mbavu, Hao Wanandoa Kweli Wametisha “ Chezea Mchepuko Wewe ”, kwa Vituko vingine kama Hivi. Shuka Chini utavipata. Namaanisha Chini ya Page hii.

Nijulishe Hapo Chini Kwenye Comment ungependa Vituko kama Hivi, au Kwenye Hivi Vichekesho tuongeze Kipi Tu Punguze Kipi. Nawatakia Tabasamu lenye furaha 😊😊.

Written by Admin

Space is for everybody. It’s not just for a few people in science or math or a select group of astronauts. That’s our new frontier out there, and it’s everybody’s business to know about space.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

VICHEKESHO - SHERIA ZA MPIRA UTOTONI

SHERIA ZA MPIRA UTOTONI: Watoto wa Kishua Hawawezi Kuelewa

LAZIMA UCHEKE - MWANA HARAKATI NA MFUGAJI

KISA CHA MWANAHARAKATI NA MFUGAJI: LAZIMA UTA CHEKA TU.