in

ELIMU YA AWALI (Basic Education): Past Papers and Syllabus (PDF)

Tazama Matokeo Hapa

Download Mitihani

Elimu ya Awali / Basic Education Studying Materials For Kids and Teachers Curriculum & Full Syllabus. Mtaala Mzima wa Kufundishia Kwa Mwalimu wa Shule za Msingi ikiwemo Chekechea Awali. Mtaala wa kufundishia kutoka Tanzania Institute of Education (TIE) PDF Download. Pamoja na Vitabu, Maswali na Majibu kwa Wanafunzi na Mafunzo Mengine ya msingi kwa Watoto.

ELIMU YA AWALI - BASIC EDUCATION

Elimu ya Awali (Chekechea) / Basic Education.

Tazama hapo chini kuna Table of content ambayo itakuwezesha kuchagua Kitu unacho kitaka kukisoma kwa Wakati, Yaani kwa Haraka na Kwa urahisi Bila ya kupoteza Muda ku Scroll Down.

Curriculum & Syllabi

Curriculum and Syllabus for Basic Education (Elimu ya Msingi). Mtaala kwa Lugha ya Kiswahili na English FOR PRE-PRIMARY EDUCATION First Edition 2016. MTAALA NA MUHTASARI WA ELIMU YA  MSINGI chagua Hapo chini Kuweza Ku Download PDF file.

2016 CURRICULUM & SYLLABUS ENGLISH CHEKECHEA

Curriculum is an important teaching and learning tool at any level of education and it reflects the quality of education being provided in the country. The aim of this Pre-Primary Curriculum and Syllabus is to guide Pre-Primary school teachers and other education stakeholders in Tanzania to provide quality education and care that meet the acceptable national and international standards.

Download “CURRICULUM & SYLLABI - ENGLISH” Syllabus-Awali-2016-Eng.pdf – Downloaded 14 times – 1.12 MB

2016 CURRICULUM & SYLLABUS KISWAHILI

Mtaala ni nyenzo muhimu ya ufundishaji na ujifunzaji katika ngazi yoyote ya elimu na huakisi ubora wa elimu inayotolewa. Lengo la mtaala huu wa Elimu ya Awali ni kumsaidia mwalimu na wadau wengine wa Elimu ya Awali nchini Tanzania kutoa elimu na malezi yenye viwango vya ubora vinavyo kubalika kitaifa na kimataifa. Mtaala huu umeandaliwa ili kujenga umahiri kwa mtoto utakao mwezesha kumudu ujifunzaji katika Elimu ya Msingi na ngazi zingine za elimu.

Download “CURRICULUM & SYLLABI - SWAHILI” Syllabus-Awali-2016-Kisw.pdf – Downloaded 14 times – 756.27 KB

Teaching Guide

Mwalimu, ni muhimu kuelewa kuwa Elimu ya Awali inatolewa kwa watoto kwa lengo la kuwakuza kiakili, kimwili, kijamii na kihisia. Mtoto wa Elimu ya Awali anapaswa kujenga umahiri ambao atautumia katika maisha yake ya kila siku.

Download “Teaching Guide - Awali” Teaching-Guide-Awali-2019.pdf – Downloaded 9 times – 2.48 MB

BOOKS AND EXAMS FOR NURSERY SCHOOL FREE PDF

Download Vitabu Mbalimbali vya Elimu ya Chekechea (Basic Education) Pamoja na Mitihani Bure. Vitabu vimegawanyika Vipo vya Hadithi, Michezo na Vya masomo Hivyo chagua kitabu kulingana na mahitaji yako.

Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF, kama Hauna Download hapa.

NURSERY EXAM PDF FILE
PRE-UNITY-1 Download
PRE-UNITY-2 Download
PRE-UNITY-3 Download
PRE-UNITY-4 Download
PRE-UNITY-5 Download
PRE-UNITY-6 Download
PRE-UNITY-7 Download
PRE-UNITY-8 Download
PRE-UNITY-9 Download
PRE-UNITY-10 Download
TEST-1 Download
TEST-2 Download
TEST-3 Download
TEST-4 Download
TEST-5 Download
TEST-6 Download
TEST-7 Download
TEST-8 Download
TEST-9 Download
TEST-10 Download
TEST-11 Download
TEST-12 Download
TEST-13 Download
TEST-14 Download
TEST-15 Download
TEST-16 Download

BOOKS FOR BASIC EDUCTION STUDENTS.

BOOK NAME BOOK COVER PDF FILE
JIFUNZE VYEMA Download
KIDS BUGS Download
KIDS PUZZLE Download
LEARNING ACTIVITIES Download
MATH PUZZLE Download

HITIMISHO KUHUSU (ELIMU YA AWALI / BASIC EDUCATION)

Natumaini Utakua umejifunza Mengi kuhusu Elimu ya Awali (Basic Education). Kama Una mtoto wa Chekechea natumaini utaweza kumfundisha Vyema kwa umakini na ujuzi ambao umeupata kuanzia Sasa.

Tujulishe Hapo Chini ni jambo gani ungependa tuliongeze katika Ukurasa Huu, Kama ni Vitabu, Maswali au Chochote Kinacho husiana na Elimu ya Msingi kwa Ujumla Tuta kiweka.

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

23 Best Web Hosting Providers in Africa 2022

Top 23 Best Web Hosting Providers in Africa (2023)

Jinsi ya Kuandika Barua ya Kuomba Kazi

Jinsi ya Kuandika Barua za Maombi ya Kazi: Kiswahili & English