Tazama Matokeo Hapa
Download Mitihani
.English Past Papers Darasa la Kwanza, Pili, Tatu na la Nne Mitihani Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure FREE. Kwa Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la English (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). English for Standard One, Two, Three and Four. Enjoy.
CURRICULUM AND SYLLABUS PRIMARY
This English Language syllabus is for Swahili medium schools. It is prepared based on the 2015 Primary Education Curriculum, third edition of 2019. The syllabus is divided into three parts. The first part is the introduction; the second part is the curriculum overview and the third part is the syllabus content.
The English Language Syllabus has been prepared following the introduction of Basic Education Curriculum of 2015 that introduces English Language Subject in primary schools from Standard III. Pupils in Standard, I and II are taught literacy and numeracy competencies. The teaching of English Language Subject aims at developing the four language skills namely Listening, Speaking, Reading and Writing according to class level. It is based on the communicative approach to language teaching and learning.
ENGLISH PAST PAPERS DARASA LA 1-4
Download Past Papers za Somo la English (Kidhungu 😁😉) Hapo chini. English Past Papers Free Download PDF. Kama unatumia Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Ma file ya PDF kama Hauna Download hapa.
Ku Download English Past Papers (Mitihani) Hizi apo chini, ni Rahisi sana. Bonyeza File Kama unatumia Computer uta Click Button iliyoandikwa Download. Kwa Watumiaji wa Smart Phone Utabonyeza Pia Hiyo Button yenye maneno yaliyo andikwa download Mbele ya jina la mtihani nautakuwa umesha Pakua mtihani wako kirahisi katika jedwali hili apa.
VITABU VYA ENGLISH DARASA LA NNE, TATU, PILI NA LA KWANZA.
Download Vitabu (Books) vya Somo la English (Kiingereza) Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. kupitia mwalimu wako Mitihani ya kiingereza Shule za Msingi Free Download PDF. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka .
EXAM PACKAGES | PDF FILE |
---|---|
SFNA-PACK-1 | Download |
SFNA-PACK-2 | Download |
SFNA-PACK-3 | Download |
SFNA-PACK-4 | Download |
SFNA-PACK-5 | Download |
HITIMISHO KUHUSU SOMO LA ENGLISH (Kiingereza).
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la Kiingereza (English). Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana. Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini.
Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani ( English Past Papers). Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.
- 64shares
- Facebook49
- Twitter15
- Gmail
- Copy Link