French Past papers and Books Darasa la kwanza, Pili, Tatu, Nne, Tano, Sita, na la Saba Mitihani (Past Papers) Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure (FREE) kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi. Pamoja na mitihani ya Mock ikiwa katika Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Kifaransa (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Parimary School French for Standard Five, Six and Seven Enjoy.
CURRICULUM & SYLLABUS (FRANCAIS)
FRENCH PAST PAPERS DARASA LA KWANZA HADI SABA.
Download Past Papers (Mitihani) Pamoja na Majaribio Mbalimbali ya Somo la French Hapo chini 👇🏽👇🏽. Kwa wale watumiaji wa Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF, kama Hauna Download hapa..
VITABU VYA FRANCAIS (FRENCH BOOKS)
Download Vitabu (Books) vya Somo la French (Français) Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.
BOOK NAME | BOOK COVER | PDF FILE |
---|---|---|
JIFUNZE VYEMA |
![]() |
Download |
KIDS BUGS |
![]() |
Download |
KIDS PUZZLE |
![]() |
Download |
LEARNING ACTIVITIES |
![]() |
Download |
MATH PUZZLE |
![]() |
Download |
HITIMISHO KUHUSU SOMO LA KIFARANSA.
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la French (Kifaransa), Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana.
Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini, iliyo andikwa (TUMA MTIHANI).
Unaweza kutuma File la PDF French Past papers and Books, Vitabu au Kitabu chocho kinacho husiana na Masomo ya Elimu ya Msingi Nasisi tutakiweka. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.
- 61shares
- Facebook43
- Twitter18
- Gmail
- Copy Link