in

HISABATI Past Papers: Darasa la Kwanza hadi la Nne Free (PDF)

Hisabati Past Papers Darasa la Kwanza, Pili, Tatu na la Nne. Mitihani Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure FREE, Kwa Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Hesabu (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Mathematics for Standard One, Two, Three and Four.

HISABATI PAST PAPERS DARASA LA 1,2,3 NA NNE

CURRICULUM AND SYLLABUS FOR MATHEMATICS PRIMARY SCHOOL.

Somo la Hisabati linalenga kumjengea mwanafunzi maarifa, stadi na mwelekeo utakaomwezesha kukabiliana na mazingira yanayomzunguka katika maisha ya kila siku. Ufundishaji wa somo hili umelenga kumwezesha mwanafunzi kujenga umahiri hatua kwa hatua kulingana na darasa husika. Muhtasari huu umegawanywa katika sehemu kuu tatu ambazo ni utangulizi, uhusiano kati ya muhtasari huu na mtaala wa Elimu ya Msingi na maudhui ya muhutasari.

Download “IN SWAHILI” Syllabus-Mathematics-S.3-7-2019-Kiswahili.pdf – Downloaded 1903 times – 1.12 MB

Download “IN ENGLISH” Syllabus-Mathematics-S.3-6-2016-English.pdf – Downloaded 320 times – 798.01 KB

TAARIFA YA UCHAMBUZI WA MAJIBU YA WANAFUNZI KATIKA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2015

Upimaji wa Taifa katika Stadi za Ngazi ya Juu za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) katika somo la Hisabati ulifanyika Novemba 2015. Jumla ya wanafunzi 1,064,267 walisajiliwa ambapo kati yao wanafunzi 1,001,423 sawa na asilimia 94.1% walifanya upimaji wa Hisabati kwa kila swali. Takwimu za wanafunzi waliofanya upimaji katika somo la Hisabati zinaonesha kuwa, wanafunzi 456,838 sawa na asilimia 45.6% walifaulu. Hivyo, ufaulu wa jumla katika upimaji huu ulikuwa hafifu kwani asilimia 54.4% ya wanafunzi walishindwa.

HISABATI-SFNA

Download “Taarifa ya Uchambuzi - Hisabati SFNA” HISABATI-SFNA.pdf – Downloaded 52 times – 14.54 MB

HISABATI PAST PAPERS DARASA LA NNE, TATU, PILI NA LA KWANZA.

Download Past Papers (Mitihani) ya Somo la Hisabati (Mathematics) Hapo chini. Kama unatumia Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF. kama Hauna Download hapa.

NECTA EXAM PDF FILE
SFNA-2005 Download
SFNA-2007 Download
SFNA-2008 Download
SFNA-2013 Download
SFNA-2014 Download

Ku Download Past Papers (Mitihani) Hizi apo chini, ni Rahisi sana. Bonyeza File Kama unatumia Computer uta Click Button iliyoandikwa Download. Kwa Watumiaji wa Smart Phone Utabonyeza Pia Hiyo Button yenye maneno yaliyo andikwa download Mbele ya jina la mtihani nautakuwa umesha Pakua mtihani wako kirahisi.

VITABU VYA HISABATI DARASA LA NNE, TATU, PILI NA LA KWANZA.

Download Vitabu (Books) vya Somo la Hesabati (Mathematics) Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Hisabati Past Papers kwa wanafunzi wote wa Darasa la Nne. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji. Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka .

EXAM PACKAGES PDF FILE
SFNA-PACK-1 Download
SFNA-PACK-2 Download
SFNA-PACK-3 Download
SFNA-PACK-4 Download
SFNA-PACK-5 Download

HITIMISHO MITIHANI YA HISABATI.

Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la Mathematics (Hisabati). Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana. Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini.

Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani Hisabati Past Papers. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.

TUMA MTIHANI

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

NECTA Standard Seven Results

NECTA STANDARD SEVEN RESULTS: PSLE Results (2022/2023)

Best Betting Companies in Tanzania 2022 - Best Bookmarkers in TZ

Best Betting Companies in Tanzania: Top Bookmarkers (2023)