in

ISABELAH: SIMULIZI YA KUSISIMUA NA KUFUNDISHA

ISABELAH: Simulizi hii ya kusisimua inamuelezea Binti Mmoja Anaetokea Katika Kijiji cha Matimila. Soma Mapaka Mwisho Kunamatukio Mengi yatakayo Kufurahisha na Kuburudisha. MTUNZI: @aishamapepe

IZABELAH Simulizi ya Kusisimua

SIMULIZI YA KUSISIMUA: ISABELAH.

ISABELAH ni binti mremb0, haijapata kut0kea katika ardhi ya kijiji cha MATIMILA, kilich0p0 pembeni kabisa ya mji was0ngea, kand0kand0 ya safu ya milima ya MAT0G0R0,

ily0p0 pembez0ni mwa mt0 ruvuma, amba0 ni mpaka wa tanzania na msumbuji, babu yangu aliwaikuniambia makakabila mengi sana ya kusini kama wangind0. Wamaging0, wamak0nde, wamwera, waya0, wamakuwa namengine mengi yali safiri yakipita pembeni ya mt0 hu0,

yakit0kea ziwa nyasa. Nakufanya makazi ya0 pembez0ni mwa vijit0 vinavy0 mwagamaji mt0 ruvuma, kabala ya kuendelea nasafari yakuelekea lindi na mtwala na kuna kipindi kut0kana na mila za0 naku0g0pa mtu alie kufa walitupia wafu kwenye mit0 hiy0,

kitu kilich0 sababisha mauza uza kwenye mit0 hiy0. Navijit0 vinavy0 peleka maji mt0 ruvuma, kati ya vijit0 hivy0 kuna huu hapa mt0 matimila. Amba0 wakazi wa ene0 hili walitegemea mt0 huu kuch0ta maji kwamatumizi ya nyumbani,

ebu turudi kwa binti Isabelah, licha yakuwamzuri wakuvutia vijana w0te. Hapa kijijini na vijiji vya jilani ,lakini binti huyu ambae alikuwa anaishi na bibi yake na kaka yake. hakuwa ame0lewa, licha ya Mbuya Mundu. (ndivy0 watu walivy0 kuwa wakimwita),

kuwa mkali nakumchagulia wanaume kila kukicha, lakin aliwakataa kabisa na kiukweli watu walimw0g0pa sana huyu bibi, wengi wakimshutumu ni mwanga, yaani mchawi,

naikisadikika kuwa ndie alie wauwa wazazi wa isabela na kaka yake Kad0da, siy0 kwamba vijana walikuwa hawaji kumchumbia Isabelah. Walikuwa wanakuja kwawingi sana, lakini Isabelah aliwakataa kabisa akisema kuwa kuna mtu atakuja kujitambulisha kwa0,

kitu kingine cha kushangaza nikwamba Isabelah hakuwai ku0nekana na mvulana y0y0te pale kijijini, siku m0ja Isabelah alikuwa ameenda kuch0ta maji mt0ni. Ilikuwa ni kawaida yake, namala nyingi uwa anatabia ya kuchelewa sana kurudi.

anap0 enda kuch0ta maji katika mt0 hu0, sikuhiy0 alifika mt0ni, na kukaa pembeni ya mt0, haikuwa kawaida kwa watu kukaa kule mt0ni, kut0kana na mauza uza, tena ukiwa peke yak0,

nahatari zaidi kwa mt0t0 wakike kama Isabelah kukaa peke yake, nikama Isabelah alikuwa anamsubiri mtu flani, huku wakati w0te mach0 yake yakiwa kwenye maji. Aki0nyesha shauku kubwa ya kuki0na anach0king0ja,….

Binti Isabelah alikaa sana mahali pale huku akisikiliza mtililik0 wa maji, ya mt0 Matilila, pasip0 ku0na kitu anach0 kisubiri,

kiukweli Isabelah alikuwa mremb0 sana tena vijana wapale kijijini walikuwa wameingia chuki kwa binti huyu asa kut0kana na tabia yake ya kuwakatalia kuwa wapenzi wa0,

ilifikia kipindi ambach0 wengine walitamani kumvizia ili wambake. Lakini, wali0g0pa tabia ya wanga ya bibi yake Isabelah, siy0 kwamba hakuwa na babu,

babu yake alikuwep0 lakini hakuwa na sauti juu ya bibi yake, kwani hakuna hasie mw0g0pa bibi Mbuyamundu, pale kijijini na vijiji vya jilani. Isabelah akiwa amezama kwenye mawaz0 nahisia nzit0, kam za mapenzi aliendelea kusubiri pale mt0ni,

mawaz0 yalihama nakuanza kuwakumbuka wazazi wake. Amba0 vif0 vya0 vilizuwa utata mpaka le0 haija julikana walikufaje, maana ilikuwa ni kipindi cha likiz0. Ndip0 wazazi wa0 wakiwa na wat0t0 wa0 wawili yani.

yeye Isabelah na kaka yake Ka0da, walit0ka mjini walip0kuwa wana fanya kaazi na kuelekea kijijini kwa0 Matimila, ilkikuwa ni baada ya miaka mingi sana kupita pasip0 kwenda kuwasalimia wazazi wa0, wakiwa huk0 kijijini walishuhudia marumban0,

kati ya bibi ya0 na baba ya0, kut0kana na umri kuwa md0g0 maana Isabela alikuwa na miaka mi tan0 na kaka yake alikuwa na miaka tisa. Hivy0 hakujuwa chanz0 cha marumban0 hay0, ndip0 sikuchache baadae baba ya0 ali g0ngwa na ny0ka.

inavy0 semekana, jap0 ny0ka huy0 haku0nekana, naukichukulia ilikuwa ndani ya nyumbaya0, baada ya kumzika baba ya0, mama ya0 nae. Akawataka wana wa0nd0ke warudi mjini, jamb0 ambal0 bibi ya0 alilipinga vikali,

yakaibuka marumban0 mapya, ndip0 sikum0ja mama ya0 na bibi ya0 walienda kuch0ta maji mt0 matimila, kitu cha kushangaza, alilrudi bibi peke yake. Akasema mama ya0 amep0tea kwenye maji,

inamaana amekufa kwenye maji, na haku0nekana kabisa. Naam baada ya kaasana pale akiwaza, huku akisubiri anach0 kijuwa yeye. Baadae ali0nekana kukata tamaa, pia ali0g0pa kusemwa na bibi yake akaamua kuinuka na kuelekea ndani yamaji ya mt0 matimila. akaingia ndani ya maji,

kisha akach0ta maji kwenye nd00 yake, nakuya weka kichwani , kisha aka anzakut0ka kwenye maji, wakati anataka kut0aka kwenye maji mala akasikia kitu kina mgusa kenye mguu wake….. nikitugani kilich0 mgusa Isabelah?

haya wadau huy0 ndie binti Isabelah, ilikujuwa zaidi kisa na mkasa tafadhari endelea kufwatilia kisa na mkasa nakuya weka kichwani , kisha aka anzakut0ka kwenye maji,

wakati anataka kut0aka kwenye maji mala akasikia kitu kina mgusa kenye mguu wake, hap0 Isabelah akaachia tabasamu la uhindi, kwani alisha juwa kinach0endelea, je ?

una juwa nin nini mdau, huyu alikuwa ni kijana YENDA, iweje at0kee kwenye maji?, basi tulia nikupe mrish0 nyuma wazungu wana sema (feed back) mika mingi iliy0pita Isabelah akiwa binti md0g0 sana, ni wa miaka tisa,

ni miaka minne tangu mama yake alip0 faliki kwa kup0tea mt0ni, tuki0 mbal0 lilimfanya binti Iasabelah, kila siku asubuhi kwenda mt0ni, nakukaa pembeni akizani kuwa mama yake atat0kea,

lakini miaka ilipita mpaka sikum0ja, alip0 mw0na mt0t0 mm0ja wakiume mwnye nywele nyingi za lrangi mbalimbali, aki0gelea kwenye mt0 hu0, kiukweli Isabela alivutiwa na u0geleaji wa kijana huy0,

jap0 alikuwa akiya0g0pa sana maji, akiamini ndiy0 yaliy0 mp0teza mama yake, Iasabela aliendelea kumwangalia yule mvulana aki0gelea kwa ustadi wa hali yajuu sana, kiasi cha kumfanya azidi kuvutiwa na mylana huyu, kwaakili ya kit0t0 akatamani sa awe rafiki yake “Isabelah,

nj00 ujaribu” Isabelah alishangaa pale mvulana huyu alip0 mwita kwajinalake, “haku me! staki, kwanza umelijuwaje jina langu?” aliuliza Isabelah, wakati akimw0na yule mvulana akipigambizi kujaja upande alip0 yeye,

na kuishia kwenye king0 za mt0 huku nusu ya mwili wake ukiwa ndani yamaji, “kwani wewe jinalak0 nisiri?, mb0na nakufahamu tena kila siku lazima uje hapa mt0ni”

wali0ngea mawili matatu na ndip0 Isabelah akalijuwa jina la mvulana huyu, kuwa ni YENDA, hap0 ndip0 urafikiwa0 ulip0anza, ikawa desturi ya0 kukutana hap0 kilasiku, kitu kilich0 mshangaza Isabelah ni kitend0 cha Yenda kujificha kila,

anap00na watu wanakuja kuch0ta maji, na wanakijiji waMatimila walikuwa wana kuja kwa makundi kuch0ta maji, waki0g0pa mauza uza ya mt0 hule, walimshangaa sana binti Isabelah, tabia yake ya kushinda pale mt0ni, bila ku0g0pa,

wakaamini kwakuwa bibi yake ni mchawi, basi anamlinda mjukuu wake, Miaka ilizidi kus0nga huku urafiki wa0 ukizidi ku0ngezeka mala dufu, ilifikia kiasi cha kwamba siku ambay0 Isabelah hakumw0na Yenda, akuweza atakula chakula nyumbani kwa0,

hakutaka kucheza na wat0t0 wenzake, zaidi ya Yenda, alijifunndisha ku0gelea haku0g0pa tena kucheza kwenye maji, ataalip0 gunduwa kuwa Yenda hakuwa binadamu wakawaida,

haku0g0pa tena kwani alijuwa hawezi kumzuru, kwasababu wamecheza pam0ja muda mrefu sana pasip0 kumzuru.

urafiki wa0 uligeuka na kuingia ndani zaidi, ilikuwa kipindi ambach0 Isabela ametimiza miaka kumi natan0, alikuwa ameshavunja hung0, na Yenda nayeye, alikuwa amesha balehe, siku hiy0 wakiwa wana0gelea, alistahajabu jamb0 m0ja,

nikud0keze jamb0 mdau, kipindi ch0te cha urafiki wa0, hakuwai kumw0na Yenda kuanzia kiun0ni kushuka chini, sasa siku ile wakiwa wana0gelea kwabahati mbaya walikutana miili ya0 ndip0 Isabaelah akagungduwa kuwa Yenda hakuwa na ngu0 mwili mwake,

maana mk0n0wake uligusa dudu ya Yenda ambay0 nae Yenda alikuwa amepatwa na msisimk0 nakusimamisha muh0g0,…..

ndip0 Isabaelah akagungduwa kuwa Yenda hakuwa na ngu0 mwili mwake,

maana mk0n0wake uligusa dudu ya Yenda ambay0 nae Yenda alikuwa amepatwa na msisimk0 nakusimamisha muh0g0, kwanza Isabelah, alistuka sana lakini baada ya Yenda kumw0nd0a wasiwasi kuwa kile siy0 ny0ka au smaki kama alivy0 sani ,

bali nikiung0 cha mwili wake, basi Isabable akaanza kumsumbua Yenda kwamba anataka kuki0na, licha ya Yenda kukataa sana lakini Isabelah, alikuwa king’ang’anizi,

ndip0 walip0 peana masharti ya ku0nyesha, yani kila mtu amw0nyeshe mwenzie, kwanza walitafuta sehemu yenye nyasi nyingi na magugu, wakaenda na kujibanza kisha kazi ikaanza, wakwanza kumw0nyesha mwenzie alikuwa ni Yenda,

alijiinuwa kwenye maji na kufanya dudu i0nekane, “haaaa! kumbeee, nd0ilivy000, nzurii, naweza kuigusa kid0g0” ali0ngea Isabelah akiziba md0m0, kwa stahajabu,

huku mach0 ameyak0d0a kwenye dudu ya Yenda, ebu mdau nikujuze kid0g0 juu ya Yenda, yenda ni mfalme mt0t0 mjukuu wa mfalme Yenda wakwanza, katika fame ya samaki watu wa maji baridi,

inay0patikana kwenye mt0 mkbwa mat0 ruvuma, Yenda baada ya kulithi ufalme t0ka kwa babu yake, ambae alifaliki na kugeuka maji, kwama0n0 yake ya hajabu yat0kanay0 nauwez0 mkubwa ali0na0 akagunduwa ma0vu mengisana duniani,

asa ene0 la karibu na ikulu yake, ndip0 alip0 gunduwa uwep0 wa Binti wa umri wake, ambae alikuwa nakili0 cha wazazi wake, nayeye akaamua kuchukuwa jukumu la kumfaliji, akiwa nauwez0 wa kujibadilisha, wakati mwingine kuwa namiguu kama binadamu wakawaida, lakini hakuweza kuitumia ipasavy0,
Bonyeza Hiyo Button Iliyo andikwa Next Kusoma Sehemu Inayo Fuata ya, IZABELAH Simulizi ya Kusisimua yenye Ujumbe wa Kufundisha.

Written by Aisha Mapepe

Aisha Mapepe ni Mwandishi wa Simulizi Mbalimbali za Mapenzi, Maisha na za Kuelimisha. Lengo ni Kuburudisha Jamii na Kuondoa Stress za Maisha zinazo tukabili Baadhi Yetu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE

BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE: SIMULIZI NZURI SANA

NIMEMPOTEZA MWANANGU WAPEKEE

NIMEMPOTEZA MWANANGU WAPEKEE: Simulizi ya Kusisimua Sana