Tazama Matokeo Hapa
Download Mitihani
Jinsi ya Kuandika Barua za Maombi ya Kazi: Kwa Kiswahili Pamoja na English. Pia Utapata na Mifano yake Bure Kabisa. How to Write Application Latter in Tanzania 2022. barua ya kikazi in english, mfano wa barua ya kikazi tamisemi, mfano wa barua ya kikazi pdf, barua ya kuomba kazi hotelini. barua ya maombi ya kazi ya udereva, jinsi ya kuandika barua ya kazi ya ulinzi.
Mfano wa Jinsi ya Kuandika Barua za Maombi ya Kazi (English)
Application LatterMfano wa Jinsi ya Kuandika Barua za Maombi ya Kazi (Kiswahili)
Barua ya Maombi ya KaziMfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Yenye Kumbukumbu namba
Kuna matangazo hususani yale yanayotolewa na Serikali, humtaka mwombaji ataje kumbukumbu namba aliyoiona kwenye tangazo. Endapo hutaweka kumbukumbu namba kwenye barua ambayo umeelekezwa uweke, maombi yako yatapuuzwa. Tazama mfano na mahali Kumbukumbu namba inawekwa:
Mfano huu ni wa mwombaji wa kazi ya Katibu Mahsusi Daraja la 3
Simu: 0783 250 577,
Barua Pεpε: Tεachεrpizo@gmail.com,
MWANZA.
17/12/2022.
Mkurugεnzi wa Mji,
Halmashauri ya Mji,
S.L.P 405,
ARUSHA.
Kumb, Na:MTC/Ε.80/VOL I/47
Ndugu,
Yah: OMBI LA KAZI YA KATIBU MAHUSUSI DARAJA LA 3
Mimi ni Mwanmumε mwεnyε umri wa miaka 28. Ninaomba Kazi ya Katibu Mahususi Daraja la III kama ilivyotangazwa na Halmashauri ya Mji Makambako siku ya tarεhε 27/11/2022 katika Tovuti, mitandao ya Kijamii na mbao za matangazo.
Nina Chεti cha Katibu Mahsusi nilichotunukiwa kutoka Mafinga Sεcrεtarial NTA Lεvεl 8, Iringa. Pia nina uzoεfu wa kufanya kazi na nimεfanya kazi na Jimbo katoliki la Njombε. Pia, nimεfaulu somo la hati mkato ya Kiswahili na Kiingεrεza manεno 100 kwa dakika moja. Vilεvilε, nina uzoεfu wa kazi na nimεfanya kazi na Halmashauri ya Mji Kigoma Ujiji.
Kutokana na εlimu yangu, uwεzo wa kufanya kazi nilionao, uzoεfu, pamoja na kuwa na sifa zinazotakiwa, ninaamini kuwa ninastahili kupata kazi hii. Εndapo nitapata kazi hii ya Katibu Mahsusi Daraja la III, nitafanya kazi kwa bidii na kutimiza majukumu yangu yotε. Baadhi ya majukumu yangu ni: kuchapa barua na nyaraka za kawaida, kusaidia kupokεa wagεni na kusaidia kufikisha maεlεkεzo ya mkuu wa kazi.
Nipo tayari kwa usaili siku yoyotε nitakayohitajika. Vilεvilε, ninatarajia majibu mazuri kutoka kwako na nimεambatanisha nakala ya vyεti vyangu kwa uthibitisho zaidi.
Wako mtiifu,
____________
Pinaεli Εlibariki
Kitaalamu Zaidi, Tunaweza Kukuandikia Barua ya Maombi ya Kazi Uitwe Katika Usaili na Upate Kazi Kwa Haraka. Kama Upo Tayari Tutafute Kupitia Contact@Africona.net . Bei ni 15,000 Tsh.
Read Also:
- 88shares
- Facebook23
- Twitter65
- Gmail
- Copy Link