Kiswahili Past Papers Darasa la Kwanza, Pili, Tatu na la Nne Mitihani Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure FREE. Kwa Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Kiswahili (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Kiswahili for Standard One, Two, Three and Four.
CURRICULUM & SYLLABUS
Elimu bora ni haki ya kila Mtanzania. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekuwa ikiboresha Mtaala wa Elimu ya Msingi kuhakikisha kwamba elimu inayotolewa ni bora na inayomwandaa mwanafunzi kumudu maisha katika mazingira yake. Muktadha huu umeifanya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iboreshe mchakato wa kufundisha na kujifunza Somo la Kiswahili kwa
kuandaa muhtasari huu.
PAST PAPERS ZA KISWAHILI DARASA LA 1-4
Download Swahili Past Papers (Mitihani) za Somo la Kiswahili Hapo chini, Kama unatumia Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF kama Hauna Download hapa.
NECTA EXAMS | PDF FILE |
---|---|
SFNA-2006 | Download |
SFNA-2012 | Download |
SFNA-2014 | Download |
SFNA-2016 | Download |
TESO-2020 | Download |
Ku Download Past Papers (Mitihani ya Kiswahili) Hizi apo chini, ni Rahisi sana. Bonyeza File Kama unatumia Computer uta Click Button iliyoandikwa Download. Kwa Watumiaji wa Smart Phone Utabonyeza Pia Hiyo Button yenye maneno yaliyo andikwa download Mbele ya jina la mtihani nautakuwa umesha Pakua mtihani wako kirahisi.
VITABU VYA KISWAHILI DARASA LA NNE, TATU, PILI NA LA KWANZA.
Download Vitabu (Books) vya Somo la Kiswahili Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Free Kiswahili Past Papers PDF.. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka .
EXAM PACKAGES | PDF FILE |
---|---|
SFNA-PACK-1 | Download |
SFNA-PACK-2 | Download |
SFNA-PACK-3 | Download |
SFNA-PACK-4 | Download |
SFNA-PACK-5 | Download |
HITIMISHO KUHUSU SOMO LA KISWAHILI.
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani ya Kiswahili, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la Kiswahili. Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana. Free Kiswahili Past Papers PDF. Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini.
Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani (Past Papers). Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.
- 85shares
- Facebook73
- Twitter12
- Gmail
- Copy Link