in

MAARIFA YA JAMII PAST PAPERS: Darasa la Kwanza hadi la Nne (PDF)

Maarifa ya Jamii Past papers (Social Studies Pastpapers primary School) Darasa la Kwanza, Pili, Tatu na la Nne. Mitihani Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure FREE, Kwa Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwalimu wa Kufundishia. Somo la Marifa ya Jamii (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Social Studies for Standard One, Two, Three and Four Enjoy 😊.

MAARIFA YA JAMII PAST PAPERS DARASA LA 1,2,3 NA NNE

CURRICULUM AND SYLLABUS FOR SOCIAL STUDIES.

Muhtasari wa Somo la Maarifa ya Jamii umeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu ya Msingi wa mwaka 2015 toleo la tatu 2019. Muundo wa sasa wa Somo la Maarifa ulianza mwaka 2016. Katika mwaka huu, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilibadilisha namna ya kufundisha somo hili. Mabadiliko yaliyojitokeza katika ufundishaji na ujifunzaji wa somo hili ni pamoja na kufundisha stadi za Maarif ya Jamii kwa ujumla wake badala ya ufundishaji wa kimasomo (Jiografia na Historia) kama ilivyokuwa hapo awali.

Download “- IN SWAHILI” Syllabus-Social-Studies-S.3-7-2019-Kiswahili.pdf – Downloaded 654 times – 893.50 KB

Download “- IN ENGLISH” Syllabus-Social-Studies-S.3-6-2016-English.pdf – Downloaded 47 times – 623.68 KB

MAARIFA YA JAMII PAST PAPERS DARASA LA 1-4

Download Past Papers (Social Studies Past Papers Free Download PDF) Hapo chini. Kama unatumia Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF kama Hauna Download hapa.

Maarifa-ya-Jamii-S4-Teacher-Pizo

Download “MAARIFA YA JAMII - SFNA” Maarifa-ya-Jamii-S4-Teacher-Pizo.pdf – Downloaded 164 times – 3.13 MB

Ku Download Past Papers (Mitihani) Hizi apo chini, ni Rahisi sana. Bonyeza File Kama unatumia Computer uta Click Button iliyoandikwa Download. Kwa Watumiaji wa Smart Phone Utabonyeza Pia Hiyo Button yenye maneno yaliyo andikwa download Mbele ya jina la mtihani nautakuwa umesha Pakua mtihani wako kirahisi katika Jedwali hilo apo chini.

VITABU VYA MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE, TATU, PILI NA LA KWANZA.

Download Vitabu (Books) vya Somo la Maarifa (Social Studies) Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.

EXAM PACKAGES PDF FILE
SFNA-PACK-1 Download
SFNA-PACK-2 Download
SFNA-PACK-3 Download
SFNA-PACK-4 Download
SFNA-PACK-5 Download

HITIMISHO 

Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la Social Studies . Maarifa ya jamii Past Papers PDF. Sio vibaya na wewe kama uki share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana. Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini.

Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani (Past Papers). Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.

TUMA MTIHANI

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

BIOLOGY PAST PAPERS FORM ONE AND TWO

BIOLOGY PAST PAPERS: Form One and Two Free (PDF)

CIVICS PAST PAPERS FORM ONE AND TWO

CIVICS PAST PAPERS: Form One and Two Free (PDF)