Tazama Matokeo Hapa
Download Mitihani
maombi ya Kukomesha wanaochepuka, lazima ucheke kwa Haya Maombi ya mama Mlokole. Soma Mpaka Mwisho utafahamu kilichojiri. Ni Maombi gani hayo.
Usisahau kuni Follow @japhary kwa Vichekesho na Mada Mbalimbali za Kuvutia. 😊
MAOMBI YA KUKOMESHA MICHEPUKO.
kisa Chetu kinaanza Katika familia moja ya Mtumishi Wa bwana.
Mume alimuaga mke wake kuwa anaenda Semina ya siku tatu, Kwenye maombi ya Kufunga na kusali bila Kusahau Kukesha 😆. Ukweli ni Kwamba Mume alikuwa naka Mchepuko Chake.
Mke akamwambia mumewe, “Tupige magoti tusali, nataka nikuombee ili utakapo kwenda ufike Salama na Wewe utuombee huko Kwenye maombi unayo kwenda Kushiriki.” Wakapiga magoti.
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Amen…
MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko.
MUME: Aminaa…
MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe.
MUME: Kanyamaza…
MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako BWANA MUNGU uliye MBINGUNI.
MUME: Kimia…!
MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali na Aibu.
MUME: Maombi gani sasa hayo..!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe.
Chezea mke mlokole wewe..!. Huyu ndio kiboko yao Big up Kwa huyu Wife.
Tumia hii Mbinu Kukomesha Usaliti. Utanishukuru Baadae. Inafaa zaidi Wakati unasali nae tena Unaongea Kwa Sauti iliasikie 😜.
Nawatakia Tabasamu lenye furaha 😊😊.
- 271shares
- Facebook177
- Twitter94
- Gmail
- Copy Link