in

MATOKEO DARASA LA NNE: NECTA SFNA Results (2022/2023)

NECTA STD four Results 2022/2023, Matokeo Darasa la Nne 2022/2023, NECTA SFNA Results 2022/2023.

Get NECTA SFNA Results 2022/2023, NECTA Standard Four Results 2022/2023, NECTA Matokeo Darasa la Nne 2022/2023. Candidates can know their results from official NECTA website  as well as using below given link in this post. Follow this page for NECTA SFNA Results updates.

Tazama Hapo Chini

Matokeo haya yanahusisha mikoa yote Tanzania, Namaanisha Dar es salaam, Mbeya, Kigoma, Dodoma, Arusha, Kilimanjaro, Pwani, Mwanza na mingine yote. Pia kwa upande wa Zanzibar.

Kumbuka matokeo haya hayausishi mtihani wa MOCK (MOKO), bali ni SFNA, kirefu chake kwa saio fahamu ni Standard Four National Assessment.

NINI MAANA YA SFNA?

SFNA kirefu chake kwa saio fahamu ni Standard Four National Assessment. Huu ni Mtihani unaofanywa na Watahiniwa wa Darasa la Nne Ukiwa na Lengo la kupima uelewa wao katika Madarasa waliyo Pita (1, 2, 3 na 4 Lenyewe).

Wanafunzi wote Wa shule Za Msingi Tanzania (Private and Government) Lazima Wafanye Mtihani Huu.

MATOKEO DARASA LA NNE - NECTA SFNA 2022-2023

Baraza la Mitihani Limetangaza Matokeo ya Drs la 4 Mikoa yote pamoja Na shule Zote Zote Tanzania Bara (NECTA) Pamoja Na Visiwani Zanzibar (BMZ).

Matokeo haya yanahusisha Mikoa yote Tanzania; Dar es salaam, Mbeya, Kigoma, Dodoma, Arusha, Kilimanjaro, Pwani, Mwanza, Mara, Morogoro, Tanga na Mikoa mingine yote. Pia kwa upande wa Zanzibar.

Matokeo NECTA

2022

Matokeo drs la nne (SFNA std 4 Examination Results) mwaka 2022 by NECTA, ufaulu umeongezeka kulinganisha na mwaka jana. Tazama shule kumi bora kitaifa na shule kumi zilizo shika mkia. pamaoja na wanafunzi 10 bora kitaifa, shule kumi bora pamoja na shule 10 zenye ufaulu wa chini (mdogo) katika mat0keo ya darasa la nne 2022. Standard four examination result SFNA 2022. 

Bonyeza hapo chini palipo andikwa “MATOKE0 KWA UJUMLA” kutazama matokeo yote shule zote Tanzania.

NECTA Standard Four Results

MATOKEO DARASA LA NNE 2022/2023

SFNA 2020 ulikua mwaka wenye matukio mengi, ikiwemo Virusi vya CORONA na UCHAGUZI, ilayote na yote MUNGU ametuvusha salama na wanafunzi wamefanya mtihani wao kwa utaratibu waliopewa na baraza la mitihani NECTA.

Baraza Lime Ainisha Shule Zote Zilizo Jipambanua Katika Matokeo ya Drs la 4 Mwaka Huu Yatazame Hapo Chini. Kwa Upande Wa Visiwani Zanzibar Bonyeza Apa BMZ.

2019

Chagua button husika apo chini kuweza kufahamu Matokeo ya Drs la 4 mwaka huu 2019, Standard four examination result,.

B0nyeza Hiyo Button Apo Chini Kuweza Kuyatazama matokeo yote Hapa Kwa Haraka na Uhakika.

2018

NECTA STANDARD FOUR RESULTS.

Katika matokeo haya ya SFNA 2018, yanahusisha mitihani ya kitaifa nasio MOCK, kwa kuwa kunawatu wanachanganya, hivyo nimeweka sawa kwa wasio fahamu.

Kumbuka Matokeo ya Drs la 4 yanapatikana Hapa, Ila Kwa Yale Matokeo ya MOCK (MOKO) yanapatikana Kwenye ubao wa matokeo Shuleni Kwako.

2017

Haya Hapa NECTA SNFA Results 2017, yanahusisha shule zote za msingi Tanzania ambazo wanafunzi wake wamefanya mtihani wa darasa la nne.

WANAFUNZI WA DARASA LA NNE

2015

Kama ilivyo kawaida kwa Tanzania (Democratic Country), kila baada ya miaka mitano uchaguzi unafanyika hivyo mwaka huu 2015 ni mwaka wa uchaguzi. Lakini hakuna kilicho aribika, Matokeo yametoka salama na kwawakati.
NECTA SFNA RESULTS 2022

2022

Kwa wale ambao hawaja pata matokeo yao, au hawajaona Mwaka wanao uhitaji, wasiwe na wasiwasi.

Comment apo chini mwaka unao hitaji, nasisi tutauweka.

NECTA STD four Results 2022/2023, Matokeo Darasa la Nne 2022/2023, NECTA SFNA Results 2022/2023.

Get NECTA SFNA Results 2022/2023, NECTA Standard Four Results 2022/2023, NECTA Matokeo Darasa la Nne 2022/2023. Candidates can know their results from official NECTA website  as well as using below given link in this post. Follow this page for NECTA SFNA Results updates.

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nafasi za kazi Mwanza - Ajira Mpya 2022

Nafasi za kazi Mwanza Region: Ajira Mpya in Mwanza (2022)

Nafasi za Kazi Mara - Ajira Mpya Musoma 2022

Nafasi za kazi Mara Region: Ajira Mpya Musoma Mara (2022)