Matokeo kidato cha sita 2022, NECTA ACSEE yametoka. Form six National Examination Result ACSEE 2022 by NECTA. Matokeo Form six national Exam Results for Advance school in Tanzania was officially released, click the year you want below to view the results.
Long-term of ACSEE is Advanced Certificate of secondary Education Examination, Tanzania one (TO), Mwanafunzi wa kwanza kitaifa , National Examination Council of Tanzania (NECTA). www.necta.go.tz

TAZAMA MATOKEO KIDATO CHA SITA NECTA ACSEE RESULTS 2022/2023.
Matokeo kidato cha sita acsee yametangazwa na Baraza la mitihani kwa mikoa yote Dar es Salaam, Mbeya, Arusha, Kigoma, Mwanza, iringa, Pwani, Kilimanjaro, Manyara, na mikoa yote Tanzania bara na Visiwani BMZ (Zanzibar).
Therefore, Chagua mwaka husika hapo chini kwenye hiyo Table of Content, uweze kutazama matokeo kwa urahisi na haraka.
2020
NECTA FORM SIX RESULTS
Wengi wetu hatuto usahau kiurahisi mwaka huu, maana ulikua ni Mwaka wa matukio mengi ikiwemo COVID-19 (CORONA VIRUS DECEMBER 2019) na UCHAGUZI wa Tanzania, ilayote na yote MUNGU ametuvusha salama na wanafunzi wamefanya mtihani wao kwa utaratibu waliopewa na baraza la mitihani NECTA.
Pia matokeo yametoka kwa wakati, yatazame hapo chini.
Bonyeza button iliyo andikwa “MAT0KEO KWA UJUMLA” kutazama matokeo yote, na hizo nyingine kujua wanafunzi kumi bora kitaifa na shule kumi bora Tanzania bara na visiwani (Zanzibar).
2015
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2015
ACSEE RESULTS mwaka 2015 haya apa ACSEE Released by NECTA.
Pia usisahau ya kwamba mwaka huu ndio mwaka ambao Tanzania ilifanya Uchaguzi wake mkuu, na Kumpata Mwamba wa Afrika, Nammanisha Hayati DKT.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, Aliyekuwa Rais wa jamuhuri ya Muungano Tanzania.
Tazama matokeo hapo chini, kwa kuchagua MAT0KEO KWA UJUMLA.
2009
Matokeo haya ya kidato cha sita 2009 yametolewa kwa mpangilio wa mikoa yote na shule zote za serikali pamoja na shule za private(Binafsi).
Kwenye matokeo haya yamejumuisha mkoa wa Tanga, Kilimanjaro, Mbeya, Dar es salaam, Dodoma, Shinyanga, na mikoa mingine yote Tanzania Bara na kwa upande wa visiwani yaani Zanzibar.
2008
Matoke0 ya kidato cha sita haya apa, yamepangiliwavizuri na Baraza la mitihani Tanzania NECTA.
Bonyeza Hapo Chini Button Husika Kutazama matokeo Yako Kwa Haraka. Kumbuka Tovuti Halisi ya Baraza la Mitihani ni www.necta.go.tz .

2006
Hivi mnawakumbuka wale watoto waliokua wanaitwa “Watoto wa jakaya” miaka hiyo ya 2006, Hivi sasa (2021) ndo wapo secondary kweli muda unakwenda.
Yatazame mat0keo ya kidato cha sita ACSEE 2006.

2005
MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE RESULTS
Vijana walio zaliwa miaka hii hivi sasa (2021) ndo wanamiaka 16, kweli muda unakwenda. Na kwawale Wahenga chipukizi walio maliza kidato cha sita mwaka huu 2005, Wengiwao Sasahivi Wapo namaisha yao na familia zao.
Pia Wapo Wanafunzni Wachache ambao bado wanasoma, Nazani wanataka kuona kule kibao kilicho andikwa “NO SCHOOL, ALL TEACHERS RETIRED” Bado wanapambana na Elimu 👏🏼.
Tazama apo chini matokeo mwaka 2005.
HAYO NDIYO YALIKUWA MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE RESULTS.
NIANDIKIE HAPO CHINI KWENYE COMMENT 💬, MATOKEO KIDATO CHA SITA NECTA YALIPO TOKA ULIKUA UNAFANYA NINI, NA ULIPATA UWOGA KIASI GANI…?
Nafahamu Kunakuaga Nakale Kamshtuko Unapo sikia Kwa Watu Kwamba Matokeo Yametoka, Moyo Lazima Uende Mbio Hatakama Unauhakika wa Kufaulu.
PIA SHARE KWA WENZAKO WAPATE TAARIFA ZA UHAKIKA KAMA HIZI.
- 356shares
- Facebook283
- Twitter73
- Gmail
- Copy Link