Tazama Matokeo Hapa
Download Mitihani
Je unahitaji kufahamu matokeo ya Mock Dar es Salaam, Mkoa Mzima..? Kama Jibu ni Ndiyo, Basi Upo Sehemu Sahihi..
Katika Website Hii Utapata Matokeo ya Mock Dar es Salaam 2022, Shule Zote Zipo Kwenye Kila Wilaya Shule Za Msingi na Secondary. Darasa la Saba na La Nne Pamoja Na Kidato cha Pili cha Nne na Cha Sita. Pia Kwa Wale Wanao Hitaji Hitaji Mock Examination Past papers and Timetable Watapata Maelezo Hapa.
Matokeo ya Mock Mkoa wa Dar es Salaam 2022 For All Candidates, Starting With Primary Standard Seven and Standard Four 2022. And Secondary School (A-Level and O-Level) Form Four and Form Six 2022.
Soma Hapo Chini:
- Matokeo Darasa la Nne 2022
- Matokeo ya Darasa la Saba 2022
- Matokeo ya Kidato cha Pili 2022
- Matokeo ya Kidato cha Nne 2022
- matokeo ya Kidato cha Sita 2022/2023
Mock Examination Result Dar es Salaam Darasa La Saba Na La Nne 2022/2023 Wilaya Zote.
- ILALA(M)
- ILALA(V)
- KIGAMBONI
- KINONDONI
- TEMEKE
- UBUNGO.
Mock Examination Result Dar es Salaam Form Two, Form Four and Form Six.
- ILALA(M)
- ILALA(V)
- KIGAMBONI
- KINONDONI
- TEMEKE
- UBUNGO.
Chagua Shule Yako Hapo Chini. Kwa Wale Wanafunzi Wote Watakao pata Changamoto Katika Kutafuta Shule Zao au Kujua Matokeo ya Mock Dar es Salaam 2022, Wasisite Kutuandia Hapo Chini Kwenye Comment Na Sisi Tutakupatia Melezo ya Msingi Namna Ya Kupata Matokeo yako.
Pia Ukishuka Mpaka Mwisho Wa Page Hii Utajipatia Material Ya Kusoma kama Vile Mitihani, Vitabu na Mock Examination Past papers 2022. Zitakazo kusaidia Kuongeza Ufaulu Wako kwa Mitihani ijayo.
DARASA LA SABA NA LA NNE MATOKEO YA MOCK DAR ES SALAAM 2022.
Chagua Wilaya yako Kisha Tazama Shule yako Hapa Kwenye List Hii, ili uweze kufahamu Mock Exam Results Dar es Salaam 2022/2023.
ILALA (MJINI)
Ilala Town Region Mock Results 2022/2023 for All Candidates Starting From Standard Four (SFNA), Standard Seven (PSLE), Form Two (FTNA), Form Four (CSEE), and Form Six (ACSEE).
HALMASHAURI YA ILALA (VIJIJINI)
Mock Examination Results Standard Seven District Results 2022, Darasa la Saba na La Nne, Katika Halmashauri ya Ilala Vijijini iliyopo Ndani ya jiji la Dar es Salaam, Tazama Hapo Chini.
SHULE ZOTE HALMASHAURI YA KIGAMBONI
Tazama Mock Examination Results Dar es Salaam, Katika Halmashauri ya Kigamboni. Standard Seven District Results 2022, Darasa la Saba na La Nne. | Mock Exam Results Dar es Salaam Shule Za msingi na Secondary.
SHULE ZOTE MATOKEO YA MOCK 2022 KINONDONI
Tazama Mock Examination Results Dar es Salaam Katika Halmashauri ya Kinondoni. Standard Seven District Results 2022, Darasa la Saba na La Nne.
HALMASHAURI YA TEMEKE SHULE ZOTE
Matokeo ya Mock Darasa la Saba na La Nne, Standard Seven Temeke District Results 2022. Chagua Shule Yako Hapo Kama Usipo pata Matokeo Shuka Mpaka Mwisho utapata Maelezo Kamili, juu ya Matokeo ya Mock Katika Halmashauri ya Temeke (TMK 😉).
UBUNGO MOCK EXAMINATION RESULTS 2022
Tazama Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2022 na La Nne, District Mock Results Standard Seven and Standard Four Katika Halmashauri ya Ubungo, iliyopo Jijini Dar es Salaam.
MOCK FORM FOUR 2022 DAR ES SALAAM.
Haya Apa Matokeo ya Mock Kidato cha Nne 2022, Matokeo ya Mock Form Four Katika Mkoa Wa Dar es Salaam. Chagua Shule yako Hapo chini uweze Kuyatazama Matokeo ya Mock mkoa Wa Dar es Salaam 2022 Shule za Secondary Form Four.
Kama Usipo ipata Shule Yako kwa Haraka, Comment Hapo Chini jina La Shule Yako Na Namba Yake. Kisha Utapata Maelezo kamili ya Kupata matokeo yako ya Mock Form Four.
MOCK FORM SIX 2022 DAR ES SALAAM.
Haya Apa Mock Exam Results Dar es Salaam Kidato cha Sita 2022, District Mock Results Chagua Shule yako Hapo chini uweze Kutazama Matokeo yako.
Kama Usipo ipata Shule Yako kwa Haraka Comment Hapo Chini jina La Shule Yako Na Namba Yake. Kisha Utapata Maelezo kamili ya Kupata matokeo ya Mock Mkoa Wa Dar es Salaam Form Six Results.
MOCK FORM TWO 2022 DAR ES SALAAM.
Haya Apa Matokeo Kidato cha Pili 2022, District Mock Results Chagua Shule yako Hapo chini uweze Kutazama Matokeo yako, Katika mkoa Wa Dar es Salaam.
Kama Usipo ipata Shule Yako kwa Haraka Comment Hapo Chini jina La Shule Yako Na Namba Yake. Kisha Utapata Maelezo kamili ya Kupata matoke0 ya Mock Mkoa Wa Dar es Salaam 2022 Form Two Results.
MAELEZO YA MUHIMU KUHUSU MATOKEO YA MOCK.
Mara Nyingi matokeo haya Hutolewa Katika Ubao Wa Matangazo Wa Shule Yako. Hivyo Kama Ukikosa Matokeo yako ya Mock Uku Mtandaoni Basi Unaweza Kumuuliza Mwalimu Wako Kwa Taarifa zenye Uhakika Zaidi.
Pia Itakua Nijambo la Busara kama Utachukua Material ya kujisomea Hapo chini Ili uweze kujiandaa na Mitihani ijayo. Kupata Past papers Za Mitihani ya Masomo mbalimbali na Madarasa Yote Shule za Msingi na Secondary. Tazama hapo chini…
👉🏾👉🏾 MITIHANI 👈🏾👈🏾
- 263shares
- Facebook220
- Twitter43
- Gmail
- Copy Link