in

MATOKEO YA QT: Form Four Qualifying Test Results (2022/2023)

Tazama Matokeo Hapa

Download Mitihani

Matokeo ya QT 2022/2023, NECTA Mtihani wa Maarifa kwa kidato cha Nne na Sita. Qualifying Test Results 2022 Form Four CSEE and Form Six ACSEE Results 2022 From NECTA. kwa mwaka wa masomo 2022/2023. Yatazame apo chini.

Matokeo Qualifying Test yametolewa ki taifa Mikoa yote Tanzania na NECTA. List hii ya miaka ndani yake ndo utapata matokeo yanayo husisha vituo vyote watahiniwa walipo fanya mitihani kwa mfano vituo vyote vya Dar es salaam, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Mbeya, Dodoma, Geita, Pwani, Shinyanga, Mwanza, Kigoma na maeneo mengine hapa nchini Tanzania Bara na visiwani (Zanzibar). Matokeo Kidato cha Nne na cha Sita QT 2022/2023.

MATOKEO YA QT FORM FOUR 2022-2023

MATOKEO YA QT MAARIFA, FORM FOUR 2022.

Njia Pekee ya Kufaulu Mtihani Huu ni Kuwa Makini na Mafundisho yote Unayo pewa na Mwalimu wako pamoja na Kusoma Kwa Bidii Pasipo kuleta Uvivu. Pia Jambo la Muhimu Kuliko Vyote Ni Kumtanguliza MUNGU Katika kila Jambo. Lazima utafaulu.

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA, FORM SIX 2022.

MATOKEO YA QT FORM SIX 2022-2023

HAYA NDIYO YALIKUWA MAT0KEO YA UPIMAJI MAARIFA QT FORM FOUR AND FORM SIX.

Swali Hili Napenda Kuuliza Sana Kwenye Kila Mat0keo Yanapotoka, Kwakuwa Kila Mmoja Wetu Lazima Apitie Hii Hali. “ Mtihani wa Upimaji wa Maarifa Kidato cha Nne na Cha Sita.

IVI ULIPOSIKIA MATOKEO YAMETOKA ULIPATA UWOGA KIASI GANI,?

NAFAHAMU HATAKAMA UMEFANYA VIZURI LAKINI KUNAKALE KAUOGA, KILA MMOJA ANAKUANACHO.

YAANI MOYO UNADUNDA “PAAAP” PALE UNAPOSIKIA MATOKEO YAMETANGAZWA, NAZANI UMENIELEWA 😉😉.

NIANDIKIE HAPO CHINI KWENYE COMMENT 💬, MATOKEO YA FORM FOUR YALIPO TOKA ULIKUA UNAFANYA NINI, NA ULIPATA UOGA KIASI GANI…

Read Also: Free Studying Materials and Past Papers.

PIA SHARE KWA WENZAKO WAPATE TAARIFA ZA UHAKIKA KAMA HIZI ZA MATOKEO YA UPIMAJI WA MAARIFA QT.

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

FOOD AND NUTRITION PAST PAPERS SECONDARY

FOOD AND NUTRITION PAST PAPERS SECONDARY FREE (PDF)

MATOKEO KIDATO CHA SITA - NECTA ACSEE 2022-2023

Matokeo Kidato cha Sita: NECTA ACSEE RESULTS (2022-2005)