in

MATOKEO YA UALIMU NECTA: DSEE, DTEE, GATCE, GATSCCE (2022)

Tazama Matokeo Hapa

Download Mitihani

Matokeo ya Ualimu DSNE, DSEE, GATCE, GATSCCE and DTEE. Tazama Hapa matokeo ya Ualimu kutoka Baraza la mitihani Tanzania NECTA. Grade A Teachers Examination Results 2021/2022.

Therefore The following are the Examination Results For Grade A teachers and Diploma, Matokeo ya Ualimu 2020 Download.

Matokeo ya Ualimu NECTA

MATOKEO YA DSEE 2022/2023.

DSEE Matokeo ya Diploma in Secondary Education Examination. Tazama Hapa matokeo kutoka Baraza la mitihani Tanzania NECTA. Bonyeza iyo link Hapo Chini Kuweza kutazama matokeo yako pia Kama Pia Ukitaka Kuya Download Utaweza Kufanya Hivyo.

Matokeo Haya Yanajumuisha Mikoa Yote Hapa Tanzania na Vituo Vyote vya Kufanyia Mitihani Nchi Nzima.

GATCE 2022/2023.

GATCE Matokeo ya Grade A Teacher Certificate Examination Timetable. Tazama Hapa matokeo kutoka Baraza la mitihani Tanzania NECTA. Bonyeza iyo link Hapo Chini Kuweza kutazama matokeo yako pia Kama Pia Ukitaka Kuya Download Utaweza Kufanya Hivyo.

Matokeo Haya Yanajumuisha Mikoa Yote Hapa Tanzania na Vituo Vyote vya Kufanyia Mitihani Nchi Nzima.

GATCE EXAMINATION RESULTS NECTA

GATSCCE 2022/2023.

GATCE Matokeo ya Grade A Teacher Special Course Certificate Examination. Tazama Hapa matokeo kutoka Baraza la mitihani Tanzania NECTA. Pia Download PDF File Iliuweze kutazama Ratiba Mahali Popote. Bonyeza iyo link Hapo Chini Kuweza kutazama matokeo yako pia Kama Pia Ukitaka Kuya Download Utaweza Kufanya Hivyo.

Matokeo Haya Yanajumuisha Mikoa Yote Hapa Tanzania na Vituo Vyote vya Kufanyia Mitihani Nchi Nzima.

GATSCCE EXAMINATION RESULTS NECTA

ABOUT NECTA

NATIONAL EXAMINATION COUNCIL OF TANZANIA (NECTA) is Government Institution which was established by the Parliamentary Act No. 21 of 1973. NECTA is responsible for the administration of all National Examinations in Tanzania. Katibu mtendaji wa NECTA anaitwa DKT.CHARLES MSONDE.

NECTA AFRICONA

HAYO NDIYO YALIKUWA MATOKEO YA UALIMU.

NIANDIKIE HAPO CHINI KWENYE COMMENT πŸ’¬, MATOKEO HAYA YA DSNE, DSEE, GATCE, GATSCCE and DTEE YALIPO TOKA ULIPATA KA UOGA KIASI GANI..?

Nafahamu Kunakuaga Nakale Kamshtuko Unapo sikia Kwa Watu Kwamba Matokeo Yametoka, Moyo Lazima Uende Mbio Hatakama Unauhakika wa Kufaulu.

PIA SHARE KWA WENZAKO WAPATE TAARIFA ZA UHAKIKA KAMA HIZI…

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

NECTA Standard Four Results

NECTA STANDARD FOUR RESULTS: SFNA RESULTS (2022)

MATOKEO YA MITIHANI NECTA EXAMINATION RESULTS

MATOKEO YA MITIHANI NECTA EXAMINATION RESULTS