Mitihani ya Hisabati na Vitabu (Mathematics) Darasa la Tano, Sita, na la Saba Mitihani (Past Papers) Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure (FREE) kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi. Pamoja na mitihani ya Mock ikiwa katika Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Hisabati (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Parimary School Mathematics for Standard Five, Six and Seven Enjoy 😊.
CURRICULUM AND SYLLABUS FOR MATHEMATICS PRIMARY SCHOOL.
Somo la Hisabati linalenga kumjengea mwanafunzi maarifa, stadi na mwelekeo utakaomwezesha kukabiliana na mazingira yanayomzunguka katika maisha ya kila siku. Ufundishaji wa somo hili umelenga kumwezesha mwanafunzi kujenga umahiri hatua kwa hatua kulingana na darasa husika. Muhtasari huu umegawanywa katika sehemu kuu tatu ambazo ni utangulizi, uhusiano kati ya muhtasari huu na mtaala wa Elimu ya Msingi na maudhui ya muhutasari.
MITIHANI YA HISABATI NA MAJARIBIO DARASA LA TANO, SITA NA SABA.
Download Past Papers (Mitihani) Pamoja na Majaribio Mbalimbali na Mitihani ya Hisabati (Mathematics) Hapo chini 👇🏽👇🏽. Kwa wale watumiaji wa Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF, kama Hauna Download hapa.
NECTA EXAMS | PDF FILE |
---|---|
PSLE-2004 | Download |
PSLE-2008 | Download |
PSLE-2012 | Download |
PSLE-2013 | Download |
PSLE-2014 | Download |
PSLE-2015 | Download |
PSLE-2016 | Download |
PSLE-2017 | Download |
PSLE-2018 | Download |
PSLE-ENG-2010 | Download |
PSLE-ENG-2011 | Download |
PSLE-ENG-2012 | Download |
PSLE-ENG-2013 | Download |
PSLE-ENG-2014 | Download |
PSLE-ENG-2015 | Download |
Ku Download Past Papers (Mitihani) na Majaribio Hayo apo chini, ni Rahisi sana unacho takiwa kufanya niku Bonyeza File la mtihani au Jaribio Husika unalo hitaji kusoma Kisha una Click Maandishi ya kwenye jedwali yaliyo andikwa Download.
VITABU VYA HISABATI DARASA LA TANO, SITA NA SABA
Download Vitabu (Books) vya Somo la Hesabati Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Hisabati Pastpapers na Vitabu. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.
SCHOOL EXAMS | PDF FILE |
---|---|
JARIBIO LA UPIMAJI | Download |
TEMEKE EXAMS | Download |
MOCK EXAMINATION | Download |
MTIHANI WA UTIMILIFU | Download |
MOCK EXAMINATION | Download |
BOOK NAME | FILE |
---|---|
HISABATI |
HITIMISHO KUHUSU MITIHANI YA HISABATI (MATHEMATICS).
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la Hisabati (Mathematics), Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi Mitihani ya Hisabati na Vitabu. itakua nijambo la Kiungwana sana.
Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani (Past Papers), Vitabu au Kitabu chocho kinacho husiana na Masomo ya Elimu ya Msingi Nasisi tutakiweka. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.