Mitihani ya English na Vitabu (Kiingereza) Darasa la Tano, Sita, na la Saba Mitihani (Past Papers) Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure (FREE) kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi. Pamoja na mitihani ya Mock ikiwa katika Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la English (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Parimary School English for Standard Five, Six and Seven Enjoy 😊.
CURRICULUM AND SYLLABUS PRIMARY
This English Language syllabus is for Swahili medium schools. It is prepared based on the 2015 Primary Education Curriculum, third edition of 2019. The syllabus is divided into three parts. The first part is the introduction; the second part is the curriculum overview and the third part is the syllabus content.
The English Language Syllabus has been prepared following the introduction of Basic Education Curriculum of 2015 that introduces English Language Subject in primary schools from Standard III. Pupils in Standard, I and II are taught literacy and numeracy competencies. The teaching of English Language Subject aims at developing the four language skills namely Listening, Speaking, Reading and Writing according to class level. It is based on the communicative approach to language teaching and learning.
MITIHANI YA ENGLISH NA MAJARIBIO DARASA LA TANO, SITA NA SABA.
Download Past Papers (Mitihani) Pamoja na Majaribio Mbalimbali ya Somo la Lugha Kiingereza Hapo chini 👇🏽👇🏽. Kwa wale watumiaji wa Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF, kama Hauna Download hapa.
NECTA EXAM | PDF FILE |
---|---|
PSLE-2006 | Download |
PSLE-2007 | Download |
PSLE-2010 | Download |
PSLE-2011 | Download |
PSLE-2012 | Download |
PSLE-2013 | Download |
PSLE-2014 | Download |
PSLE-2015 | Download |
PSLE-2016 | Download |
Ku Download Past Papers (Mitihani) na Majaribio Hayo apo chini, ni Rahisi sana unacho takiwa kufanya niku Bonyeza File la mtihani au Jaribio Husika unalo hitaji kusoma Kisha una Click Maandishi ya kwenye jedwali yaliyo andikwa Download.
VITABU VYA ENGLISH DARASA LA TANO, SITA NA SABA
Download Vitabu (Books) vya Somo la Lugha Kiingereza Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. English Pastpapers na Vitabu. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka .
BOOK NAME | PDF FILE |
---|---|
ENGLISH |
HITIMISHO KUHUSU SOMO LA ENGLISH (KIINGEREZA).
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya English Past papers, Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana. English Pastpapers na Vitabu.
Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini, iliyo andikwa (TUMA MTIHANI).
Unaweza kutuma File la PDF au Mitihani ya English, Vitabu au Kitabu chocho kinacho husiana na Masomo ya Elimu ya Msingi Nasisi tutakiweka. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.
SCHOOL EXAM | PDF FILE |
---|---|
MOCK EXAMINATION | Download |
MABULA PRIMARY | Download |
SAWEWE PRIMARY | Download |
DARAJA II PRIMARY | Download |
MOCK EXAMINATION | Download |
IREMSA EXAM | Download |
CLASS TEST | Download |
SECOND MOCK EXAM | Download |
ENGLISH MEDIUM EXAM | Download |
DODOMA MOCK EXAM | Download |
ARUSHA MOCK EXAM | Download |
TEMEKE HOLLYDAY TEST | Download |
JOINT EXAMINATION | Download |
JOINT EXAMINATION 2 | Download |
STD-7 EXAM TEST | Download |
- 96shares
- Facebook71
- Twitter25
- Gmail
- Copy Link
Vitabu darasa la Tano mtusaidie