Mitihani ya Kiswahili na Vitabu Darasa la Tano, Sita, na la Saba Mitihani (Past Papers) Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure (FREE) kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi. Pamoja na mitihani ya Mock ikiwa katika Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Parimary School Kiswahili for Standard Five, Six and Seven.
CURRICULUM AND SYLLABUS FOR KISWAHILI SUBJECT.
Elimu bora ni haki ya kila Mtanzania. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekuwa ikiboresha Mtaala wa Elimu ya Msingi kuhakikisha kwamba elimu inayotolewa ni bora na inayomwandaa mwanafunzi kumudu maisha katika mazingira yake. Muktadha huu umeifanya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iboreshe mchakato wa kufundisha na kujifunza Somo la Kiswahili kwa
kuandaa muhtasari huu.
MITIHANI YA KISWAHILI NA MAJARIBIO DARASA LA TANO, SITA NA SABA.
Download Past Papers (Mitihani) Pamoja na Majaribio Mbalimbali ya Somo la Kiswahili Hapo chini 👇🏽👇🏽. Kwa wale watumiaji wa Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF, kama Hauna Download hapa.
NECTA EXAM | PDF FILE |
---|---|
PSLE-2004 | Download |
PSLE-2006 | Download |
PSLE-2011 | Download |
PSLE-2012 | Download |
PSLE-2014 | Download |
PSLE-2015 | Download |
PSLE-2016 | Download |
PSLE-2017 | Download |
Ku Download Past Papers (Mitihani) na Majaribio Hayo apo chini, ni Rahisi sana unacho takiwa kufanya niku Bonyeza File la mtihani au Jaribio Husika unalo hitaji kusoma Kisha una Click Maandishi ya kwenye jedwali yaliyo andikwa Download.
SCHOOL EXAM | PDF FILE |
---|---|
JARIBIO LA WIKI | Download |
KISHAPU EXAMS | Download |
TEMEKE EXAMS | Download |
MAJARIBIO | Download |
NGOPSO EXAMS | Download |
MADEP EXAMS | Download |
IREMSA EXAMS | Download |
KESS EXAMINATIONS | Download |
UWATA EXAMS | Download |
TEMEKE EXAMS - 2 | Download |
KINONDONI EXAMS | Download |
NECTA - 2019 | Download |
MTIHANI WA MOCK | Download |
VITABU VYA KISWAHILI DARASA LA TANO, SITA NA SABA.
Download Vitabu (Books) na Mitihani ya Kiswahili Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Swahili Pastpapers na Vitabu. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.
JINA LA KITABU | PAKUA FAILI |
---|---|
KISWAHILI |
HITIMISHO
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la Kiswahil, Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana.Pastpapers na Vitabu.
Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani ya Kiswahili, Vitabu au Kitabu chocho kinacho husiana na Masomo ya Elimu ya Msingi Nasisi tutakiweka. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.
- 108shares
- Facebook86
- Twitter22
- Gmail
- Copy Link