Mitihani ya Maarifa ya jamii (Social Studies) Darasa la Tano, Sita, na la Saba Mitihani (Past Papers) Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure (FREE) kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi. Pamoja na mitihani ya Mock ikiwa katika Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Maarifa (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Parimary School Social Studies for Standard Five, Six and Seven.
CURRICULUM AND SYLLABUS FOR SOCIAL STUDIES 2023
Muhtasari wa Somo la Maarifa ya Jamii umeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu ya Msingi wa mwaka 2015 toleo la tatu 2019. Muundo wa sasa wa Somo la Maarifa ulianza mwaka 2016. Katika mwaka huu, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilibadilisha namna ya kufundisha somo hili. Mabadiliko yaliyojitokeza katika ufundishaji na ujifunzaji wa somo hili ni pamoja na kufundisha stadi za Maarif ya Jamii kwa ujumla wake badala ya ufundishaji wa kimasomo (Jiografia na Historia) kama ilivyokuwa hapo awali.
MITIHANI YA MAARIFA YA JAMII NA MAJARIBIO DARASA LA TANO, SITA NA SABA.
Download Past Papers (Mitihani) Pamoja na Majaribio Mbalimbali na Mitihani ya Maarifa jami (Social Studies) Hapo chini 👇🏽👇🏽. Kwa wale watumiaji wa Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF, kama Hauna Download hapa.
NECTA EXAM | PDF FILE |
---|---|
PSLE-2013 | Download |
PSLE-2014 | Download |
PSLE-2015 | Download |
PSLE-2016 | Download |
PSLE-2019 | Download |
PSLE-ENG-2010 | Download |
PSLE-ENG-2011 | Download |
PSLE-ENG-2012 | Download |
PSLE-ENG-2013 | Download |
PSLE-ENG-2014 | Download |
PSLE-ENG-2015 | Download |
Ku Download Past Papers (Mitihani) na Majaribio Hayo apo chini, ni Rahisi sana unacho takiwa kufanya niku Bonyeza File la mtihani au Jaribio Husika unalo hitaji kusoma Kisha una Click Maandishi ya kwenye jedwali yaliyo andikwa Download.
VITABU VYA MAARIFA YA JAMII DARASA LA TANO, SITA NA SABA.
Download Vitabu (Books) na Mitihani ya Maarifa (Social Studies) Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.
SCHOOL EXAM | PDF FILE |
---|---|
MTIHANI WA MOCK | Download |
KAHANGARA PRIMARY | Download |
MAJARIBIO LA SABA | Download |
PRE NATIONAL | Download |
MITIHANI TEMEKE | Download |
MAJARIBIO KISHAPU | Download |
BOOK NAME | PDF FILE |
---|---|
MAARIFA YA JAM11 |
HITIMISHO (Social Studies).
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali na Mitihani ya Maarifa ya jamii (Social Studies), Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja Maarifa ya Jamii Pastpapers na Vitabu. itakua nijambo la Kiungwana sana.
Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini, iliyo andikwa (TUMA MTIHANI).
Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani (Past Papers), Vitabu au Kitabu chocho kinacho husiana na Masomo ya Elimu ya Msingi Nasisi tutakiweka. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.
Tunamshukuru sana ticha pizo Kwa msaada ubarikiwe