Mitihani ya Sayansi na Vitabu Darasa la Tano, Sita, na la Saba Mitihani (Past Papers) Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure (FREE) kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi. Pamoja na mitihani ya Mock ikiwa katika Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Sayansi (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Parimary School Science for Standard Five, Six and Seven Enjoy.
CURRICULUM AND SYLLABUS SCIENCE.
Mtaala wa Elimu ya Msingi umebainisha mambo mbalimbali ikiwemo umahiri mkuu na umahiri mahususi katika kila somo kwa Darasa la III-VII. Muhtasari wa Sayansi na Teknolojia umewasilisha baadhi ya vipengele vya mtaala ambavyo ni malengo ya Elimu ya Msingi, umahiri wa Elimu ya Msingi, malengo ya Somo la Sayans na Teknolojia, umahiri mkuu na mahususi, ufundishaji na ujifunzaji wa Somo la Sayansi na Teknolojia na upimaji wa ujifunzaji.
MITIHANI YA SAYANSI NA MAJARIBIO DARASA LA TANO, SITA NA SABA.
Download Past Papers (Mitihani) Pamoja na Majaribio Mbalimbali ya Somo la Sayansi (science) Hapo chini 👇🏽👇🏽. Kwa wale watumiaji wa Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF, kama Hauna Download hapa. Sayansi Pastpapers na Vitabu Bure.
NECTA EXAM | PDF FILE |
---|---|
PSLE-2005 | Download |
PSLE-2006 | Download |
PSLE-2007 | Download |
PSLE-2008 | Download |
PSLE-2009 | Download |
PSLE-2010 | Download |
PSLE-2011 | Download |
PSLE-2012 | Download |
PSLE-2013 | Download |
PSLE-2014 | Download |
PSLE-2015 | Download |
PSLE-2016 | Download |
PSLE-2017 | Download |
PSLE-2018 | Download |
PSLE-ENG-2010 | Download |
PSLE-ENG-2011 | Download |
PSLE-ENG-2012 | Download |
PSLE-ENG-2013 | Download |
PSLE-ENG-2014 | Download |
PSLE-ENG-2015 | Download |
Ku Download Past Papers (Mitihani) na Majaribio Hayo apo chini, ni Rahisi sana unacho takiwa kufanya niku Bonyeza File la mtihani au Jaribio Husika unalo hitaji kusoma Kisha una Click Maandishi ya kwenye jedwali yaliyo andikwa Download.
VITABU VYA SAYANSI DARASA LA TANO, SITA NA SABA
Download Vitabu (Books) na Mitihani ya Sayansi na Teknolojia Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.
SCHOOL EXAM | PDF FILE |
---|---|
BUSISI PRIMARY | Download |
WILAYA YA NAMTUMBO | Download |
DARAJA II PRIMARY | Download |
ELIMU PRIMARY | Download |
MADEP EXAMINATION | Download |
MTIHANI WA UTAMILIFU | Download |
JARIBIO LA TANO | Download |
MTIHANI WA MOCK | Download |
MUHULA WA PILI | Download |
JARIBIO LA MWISHO | Download |
JOINT EXAMINATION | Download |
KAHANGARA SCHOOL | Download |
MANISPAA YA ILEMELA | Download |
MAJARIBIO MOROGORO | Download |
MAJARIBIO TEMEKE | Download |
THEMI PRIMARY | Download |
MOCK WILAYA NAMPANDA | Download |
MTIHANI WA KUJIPIMA | Download |
MKINGA PRIMARY | Download |
KALOLA PRIMARY | Download |
WILAYA YA KISHAPU | Download |
HITIMISHO.
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la (science). Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana.
Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini, iliyo andikwa (TUMA MTIHANI).
Unaweza kutuma File la PDF Mitihani ya Sayansi (Past Papers), Vitabu au Kitabu chocho kinacho husiana na Masomo ya Elimu ya Msingi Nasisi tutakiweka. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.
- 95shares
- Facebook76
- Twitter19
- Gmail
- Copy Link
KITABU CHA HISTORIA DARASA LA TANO.NAOMBA MSAADA JAPOKUWA HAKIPO KATIKA MTAALA WA SASA
Website hii imenisaidia sana katika kupata nakala za masomo ya elimu msingi.pongezi sana
Asante Sana, Hilo ndo Lengo Letu.
Vitabu vya English na sayansi darasa la tatu, la tano na la sita