Mitihani ya Stadi za Kazi na Vitabu (Vocational Skills Past Papers) Darasa la Tano, Sita, na la Saba Mitihani (Past Papers) Mbalimbali. Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure (FREE) kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi. Pamoja na mitihani ya Mock ikiwa katika Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Stadi za Kazi (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Parimary School Vocational Skills for Standard Five, Six and Seven Enjoy 😊.
CURRICULUM AND SYLLABUS FOR VOCCATIONAL SKILLS.
Muhtasari wa Somo la Stadi za Kazi umeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu ya Msingi wa mwaka 2015, toleo la tatu la mwaka 2019. Muundo wa sasa wa Somo la Stadi za Kazi ulianza mwaka 2016. Katika mwaka huo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilibadilisha namna ya kufundisha somo hili.
Mabadiliko yaliyojitokeza katika ufundishaji na ujifunzaji wa somo hili ni pamoja na kufundisha stadi mbalimbali kwa ujumla wake badala ya ufundishaji wa kimasomo kama ilivyokuwa hapo awali. Tafiti zinaonesha kuwa kabla ya mwaka 2016, ufundishaji wa kimasomo ulisababisha wanafunzi kupata maudhui kwa vipande vipande hivyo kushindwa kujenga umahiri uliotarajiwa.
MITIHANI YA STADI ZA KAZI NA MAJARIBIO DARASA LA TANO, SITA NA SABA.
Download Past Papers (Mitihani) Pamoja na Majaribio Mbalimbali ya Somo la Vocational Skills Hapo chini 👇🏽👇🏽. Kwa wale watumiaji wa Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF, kama Hauna Download hapa.
Ku Download Past Papers (Mitihani) na Majaribio Hayo apo chini, ni Rahisi sana unacho takiwa kufanya niku Bonyeza File la mtihani au Jaribio Husika unalo hitaji kusoma Kisha una Click Maandishi ya kwenye jedwali yaliyo andikwa Download.
VITABU VYA STADI ZA KAZI DARASA LA TANO, SITA NA SABA.
Download Vitabu (Books) vya Somo la Stadi za Kazi (Vocational Skills) Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.
STADI-ZA-KAZIHITIMISHO (Vocational Skills).
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo (Vocational Skills), Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana.
Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini, iliyo andikwa (TUMA MTIHANI).
Unaweza kutuma File la PDF au Mitihani ya Stadi za Kazi (Past Papers), Vitabu au Kitabu chocho kinacho husiana na Masomo ya Elimu ya Msingi Nasisi tutakiweka. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.
- 102shares
- Facebook75
- Twitter27
- Gmail
- Copy Link