in

MITIHANI YA URAIA NA MAADILI: Darasa la Tano, Sita na Saba (PDF)

Mitihani ya Uraia na Maadili (Civics and Morals Past Papers) Darasa la Tano, Sita, na la Saba Mitihani (Past Papers) Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure (FREE) kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi. Pamoja na mitihani ya Mock ikiwa katika Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Uraia na Maadili (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Parimary School Civics and Morals for Standard Five, Six and Seven.

MITIHANI YA URAIA NA MAADILI

CURRICULUM AND SYLLABUS.

Muhtasari wa Somo la Uraia na Maadili umeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu ya Msingi mwaka 2015, toleo la tatu mwaka 2019, wenye kuzingatia ujenzi wa umahiri kwa mwanafunzi. Somo la Uraia lilikuwa linafundishwa katika shule za msingi tangu uhuru kama Somo la Siasa. Mwaka 1996, Somo la Siasa liliunganishwa kwenye Somo la Maarifa ya Jamii. Mwaka 2007, Somo la Uraia lilianza kufundishwa kama somo linalojitegemea.

Download “- IN SWAHILI” Syllabus-Civic-and-Moral-Education-S.3-7-2019-Kiswahili.pdf – Downloaded 301 times – 1.09 MB

Download “- IN ENGLISH” Syllabus-Civic-and-Moral-Education-S.3-6-2016-English.pdf – Downloaded 34 times – 869.68 KB

MITIHANI YA URAIA NA MAADILI DARASA LA TANO, SITA NA SABA.

Download Past Papers (Mitihani) Pamoja na Majaribio Mbalimbali ya Mitihani ya Uraia na Maadili Hapo chini 👇🏽👇🏽. Kwa wale watumiaji wa Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF, kama Hauna Download hapa.

MAJARIBIO PDF FILE
PACKAGE-1 Download
PACKAGE-2 Download
PACKAGE-3 Download

URAIA-NA-MAADILI-NOV-2020

Download “URAIA NA MAADILI PSLE - SCHOOL” URAIA-NA-MAADILI-NOV-2020.pdf – Downloaded 94 times – 204.37 KB

Ku Download Past Papers (Mitihani) na Majaribio Hayo apo chini, ni Rahisi sana unacho takiwa kufanya niku Bonyeza File la mtihani au Jaribio Husika unalo hitaji kusoma Kisha una Click Maandishi ya kwenye jedwali yaliyo andikwa Download.

VITABU VYA URAIA DARASA LA TANO, SITA NA SABA.

Download Vitabu (Books) vya Somo la Uraia na Maadili (Civics and Morals) Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.

URAIA-NA-MAADILI-DARASA-LA-SABA

BOOK NAME PDF FILE
URAIA NA MAADILI

Download “URAIA 7” URAIA-NA-MAADILI-DARASA-LA-SABA.pdf – Downloaded 98 times – 32.22 MB

HITIMISHO KUHUSU SOMO LA URAIA.

Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Mitihani ya Uraia na Maadili, Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana.

Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani (Past Papers), Vitabu au Kitabu chocho kinacho husiana na Masomo ya Elimu ya Msingi Nasisi tutakiweka. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.

MITIHANI ZAIDI

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Jinsi ya Kuandika CV - Mifano ya CV

Jinsi ya kuandika CV/Resume: Pamoja na Mifano Bure (2022)

Nafasi za Kazi Arusha

Nafasi za kazi Arusha Region: 600+ Jobs in Arusha