in

MKE WANGU MSHAMBA LAKINI ANATHAMANI: Simulizi za Kusisimua

Simulizi yetu hii fupi ya kusisimua “Mke Wangu MShamba Lakini Anathamani”. Imetungwa na @aishamapepe . Soma Hadi Mwisho Utafahamu ni Kwanini Mke Wangu Mshamba Lakini Anayo Thamani.

MKEWANGU MSHAMBA LAKINI ANATHAMANI

SIMULIZI FUPI: MKE WANGU MSHAMBA LAKINI ANATHAMANI.

Nakumbuka ilikua ni Tarehe 12 mwezi wa nane mwaka 2007, siwezi kuisahau, ilikua ni siku ya jumapili, siku ambay0 nilipaswa kuwa na familia yangu. Lakini kama kawaida yangu nilichagua marafiki, kulikua na sherehe ya kikazi 0fisini kwetu na kila mtu alikuja na mwenza wake kas0r0 mimi.

Kama kawaida yangu sikwenda na mke wangu, nilimu0na mshamba mshamba hivy0 nilienda na Mariam, mchepuk0 wangu wa muda mrefu.

Yeye alikua ni mwanafunzi wa chu0 pale University of Dodoma akiwa mwaka wa tatu. Nilianza naye mahusian0 tangu akiwa mwaka wa kwanza baada ya kuwa anajit0lea pale 0fisini kwetu wakati wa likiz0.

Kweli nilimpenda na kwakua alikua ms0mi t0fauti na mke wangu ambaye aliishia kidat0 cha nne nili0na anafaa zaidi kwangu.

Baada ya ile Sherehe nilirudi nyumbani, si kwasababu nilikua na hamu ya kumu0na mke wangu hapana, nikwakua nilisahau ATM Card yangu nyumbani hivy0 nilienda kuichukua.

Nilifika na kumkuta mt0t0 wangu mkubwa amekaa sebuleni analia, alikua ameshikilia simu ya Mama yake akinipigia, nikweli nili0na Miss Call nyingi za mke wangu lakini nilijua ni wivu wake wa kijinga.

“Wewe kwanini uanchezea simu ya Mama yak0?” Nilimuuliza kwa hasira kwani nilijua yeye ndiy0 alikua ananisumbua. “Mama ndiy0 kaniambia nikupigie anaumwa…”

Nilistuka kid0g0 na kwenda chumbani alik0kua mke wangu, kweli alikua kalala, nilims0gelea mwili ulikua unawaka M0t0, nilimuuliza tatiz0 nini lakini alikua hawezi ku0ngea vizuri.

“Nipeleke H0spitali mume wangu nakufa…” Ali0ngea kwa shida, pale nilichanganyikiwa kid0g0, kwani sikua na mpang0 wa kukaa nyumbani siku ile.

Nilimuangalia tena nijiridhishe kwani nilihisi anaigiza baada ya kumpiga mchana wake alip00na meseji za mapenzi katika simu yangu na kuanza kulalamika, nilimuambia akusanye kila kilich0chake a0nd0ke, nilihisi kua hataki ku0nd0ka ndiy0 maana anajifanya kuumwa.

Nipeleke H0spitali mume wangu nakufa…” Ali0ngea kwa shida, pale nilichanganyikiwa kid0g0, kwani sikua na mpang0 wa kukaa nyumbani siku ile.

Nilimuangalia tena nijiridhishe kwani nilihisi anaigiza baada ya kumpiga mchana wake alip00na meseji za mapenzi katika simu yangu na kuanza kulalamika, nilimuambia akusanye kila kilich0chake a0nd0ke, nilihisi kua hataki ku0nd0ka ndiy0 maana anajifanya kuumwa.

Kabla sijawaza nini chakufanya simu yangu iliita, ilikua ni Mariam, niliiip0kea na palepale alianza kulalamika kuwa namchelewesha kama sitaki kwenda basi nimuambie wengine wanamsubiri.

Pale nnje niliacha Gari yangu, Mariam alikua nnje pam0ja na wafanyakazi wenzangu. Nilienda kuchukua ATM kwani mimi ndiy0 nilikua mnunuaji na walikua wananisubiri.

Nilimuambia nakuja, nilirudi chumbani na kuchukua ATM yangu (tulishatengana chumba na mke wangu), niliingia chumbani kwake na kumnyanyua, alinyanyuka kwashida, nilimu0na anaweza kusimama.

Nilimk0k0ta mpaka nnje. “Mke wangu anaumwa, tumpitishie hap0 H0spitali kid0g0…” Niliwaambia lakini nili0na w0te m00d zilibadilika, waliamnza kulalamika ni mamb0 gani hay0 kama sitaki kut0ka si niwaambie.

“Sasa hapa atapanda wapi hu0ni gari imejaa?” Mariam aliniuliza kwadharau, ali0nekana kukasirika zaidi. “Wanawake nawafahamu, huy0 ka0na unat0ka analeta wivu wake!” Rafiki yangu mm0ja ali0ngea na w0te wakacheka,

walianza kunitania kama siwajui wanawake, nilijikuta kama nataka kuwaamini hivi. Nikiwa ninawaza nini chakufanya na mke wangu. nilikumbuka nina namba ya Tax, nikampigia alip0kuja nilimpa elfu ishirni na kumuambia ampeleke mke wangu H0spitalini.

Mke wangu alini0mba niende nayeye nakumbuka nilimjibu. “Kwani mimi ni Daktari, unafikiri nitafanya nini kama nikienda au ni kweli unaigiza ili tusit0ke!” Nilimjibu kwa hasira huku nikipanda kwenye Gari.

“Hu0 ndi0 uanaume sasa!” Rafiki zangu walinisifia w0te tulicheka kwa pam0ja, mbele ya mke wangu Mariam alinikumbatia na Kunipiga Busu Matata. Hakikua kitu kipya mke wangu.

MWISHO

Huo Ndio Mwisho wa Simulizi ya Mke wangu Mshamba Lakini Anathamani. Unamaoni Gani Kuhusu Simulizi Hii, Ningependa Kusikia Kutoka Kwako. Niandikie Maoni yako Hapo Kwenye Comment.

Written by Aisha Mapepe

Aisha Mapepe ni Mwandishi wa Simulizi Mbalimbali za Mapenzi, Maisha na za Kuelimisha. Lengo ni Kuburudisha Jamii na Kuondoa Stress za Maisha zinazo tukabili Baadhi Yetu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

NIMEMPOTEZA MWANANGU WAPEKEE

NIMEMPOTEZA MWANANGU WAPEKEE: Simulizi ya Kusisimua Sana

MAISHA YA JANETH

MAISHA YA JANETH: Kisa Cha Kusikitisha Sana Cha Mtoto