Tazama Matokeo Hapa
Download Mitihani
Mzungu na Mbongo Kimeumana. Vituko na Nusu Lazima uta Cheka aise. Bila Kuweka maneno mengi embu twende tukamsikilize uyo Mzungu. Tujue Kwani Mzungu mwenyewe anasemaje..?
Usisahau kuni Follow @japhary kwa Vichekesho na Mada Mbalimbali za Kuvutia. π

MZUNGU NA MBONGO KIMEUMANA.
Sikumoja Mzungu na Mbongo Walikuwa Wamekaazao Mahaliflani ivi, Utaka kupajua Comment apo chini π. Mzungu yeye alikuwa akimdharau Sana mbongo, kama ilivyo kawaida yao kuwadharau Ngozi nyeusi.
akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!, Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa Kujibu Swali anatoa 500 Tsh. na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000 Tsh.
MZUNG: ni nchi ipi ilishindwa kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia..?
MBONGO: akatoa 500 Tsh. kuashiria hajui. Na yeye akamuuliza Mzungu Swali βNi kitu gani kikienda juu kina miguu minne na kikirudi chini kina miguu mitatu..?β
MZUNG: Mzungu akafikiria akakosa jibu, akatoa 100,000 Tsh. kuashiria hajui ila akataka kujua, akauliza ni nini hicho..?
MBONGO: akatoa 500 Tsh. kuashiria hata yeye hajui..!
Chezea Mbongo wewe, Hatunaga utani kwenye Masuala ya Pesa. Mzungu kajichanganya kajua hizi ni enzi za Ukoloni. Ningependa Kusikia kutoka kwako huhusu Uyu Mbongo Mwenzetu, kwa Kitendo alicho kifanya Unamuambia nini..?
Nawatakia Tabasamu lenye furaha ππ.
- 245shares
- Facebook184
- Twitter61
- Gmail
- Copy Link