Tazama Matokeo Hapa
Download Mitihani
Ndoto ya harusi, Unataka kujua Walicho kuwa wana kiwa hawa Wachumba Wawili. Jamaa na Binti Lazima utacheka tu Chezea Kuolewa wewe.
Usisahau kuni Follow @japhary kwa Vichekesho na Mada Mbalimbali za Kuvutia. 😊
NDOTO YA HARUSI : CHEZEA KUOLEWA WEWE LAZIMA UTA CHEKA TU.
Soma Hadi mwisho utafahamu ndoto hii inahusu nini na Nini.
BINTI: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje..?
JAMAA: Yaani my nakuambia, hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu.
BINTI: Enhee…
JAMAA: Kwanza siku ya kupeleka mahari nita swaga zizi zima la ng’ombe napeleka kwa Wazee wako.
BINTI: Ooh..! baby You care.
JAMAA: Siyo hivyo tu, baba Mkwe Nitamnunulia Range Rover Sport na mama mkwe ntampa Range Rover Evoque.
BINTI: Babe u are awesome.
JAMAA: Halafu mdogo wako wa kiume ntampa Prado Tx. na hapo nimesukutua tu mdomo sijaanza kula. (Jamaa Anamatambo sio mchezo.)
BINTI: Enhee…! na sisi..?
JAMAA: Sisi tutachukua mtaa mzima Oysterbay. kila wiki tutaishi nyumba tofauti Halafu siku ya harusi yetu tutakodi zile meli zinabeba makontena. ndiyo iwe ukumbi wetu, itatupeleka hadi Maldives.
BINTI: Baby I love you Soo Much..
JAMAA: Tukitoka hapo tunaenda honeymoon Bahamas. halafu tunaenda Taiwan shopping ya fenicha, kisha Japan shopping ya Home electronics Devices, halafu tunaenda Dubai nikununulie vito vya thamani na Mavazi.
BINTI: Ooh my sweetheart…! halafu tukitoka huko..?
JAMAA: Tukitoka huko nachukua ndoo ya maji, nakumwagia uzinduke usingizini na ndoto yako imeishia hapo.
Je ingekuwa wewe ni huyu binti Ungefanyaje..? Au unazani huyu Jamaa Alicho mfanyia huyu binti ilikua ni sawa nijulishe hapo Kwenye Comment itakua Poa Sana. kwa Vituko zaidi kama Hivi Endelea Kuperuzi Hapahapa Africona.
😊😊.
- 227shares
- Facebook178
- Twitter49
- Gmail
- Copy Link