Tazama Matokeo Hapa
Download Mitihani
Matokeo ya kidato cha nne 2021 yametoka yatazame hapa. NECTA Form Four Results 2022, CSEE Results has Announced. Its time to Harvest what you have Planted.
Pia wamesema kuwa ufaulu umeongezeka kulinganisha na mwaka jana. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani NECTA Dr. Charles Msonde. Amesema Asilimia za ongezeko hilo la Ufaulu ni.
Matokeo haya ya kidato cha nne yametolewa kwa mpangilio wa mikoa yote na shule zote za serikali pamoja na shule za private(Binafsi).
Kwenye matokeo haya yamejumuisha mkoa wa Tanga, Kilimanjaro, Mbeya, Dar es salaam, Dodoma, Shinyanga, Arusha, Mwanza, Kigoma na mikoa mingine yote Tanzania Bara na visiwani (Zanzibar).
Form Four National Examination Result SCEE 2021/2022 NECTA.
NECTA FORM FOUR RESULTS: CSEE RESULTS 2022/2023.

Also Click the link Down Below to Check the Tamisemi Form Five Selections and College. All the Names First and Second Selection are Listed. And all the Applicants Names to Join Diploma and Certificate Courses.
Pia kama ungependa kutazama matokeo ya kidato cha nne kwa miaka iliyo pita yaani kuanzia 2022-2003. Bonyeza hiyo button iliyo andikwa MATOKEO ZAIDI.
TOP TEN STUDENTS FORM FOUR CSEE 2022
Kama ilivyo kawaida, kila matokeo yanapotoka kunakua na wakwanza pamoja na wamwisho. Kufahamu wanafunzi 10 bora kitaifa kwenye matokeo haya bonyeza hiyo button apo chini.
TOP 10 SCHOOLS FORM FOUR CSEE 2022
Kama ilivyo kwa wanafunzi kumi bora kitaifa, Pia kuna shule ya kwanza na ya mwisho katika matokeo haya ya kidato cha nne, Tizama mpangilio huo kujua Shule kumi bora na kumi zenye ufaulu dhaifu kwa kubonyeza button husika hapo chini.
MAELEZO KUHUSU MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022.
Maelezo ya ufaulu umetolewa na Baraza la mitihani Tanzania bara NECTA, na kwa upande wa visiwani yaani ZANZIBAR yametolewa na baraza husika, Tembelea tovuti yake kwa taarifa zenye ukweli na uhakika.
Tazama shule kumi bora kitaifa na shule kumi zilizo shika mkia. pamaoja na wanafunzi kumi bora kitaifa, katika matokeo ya kidato cha nne, form four National examination result CSEE 2022/2023.
Bonyeza hiyo button apo juu iliyo andikwa “TAZAMA HAPA” kutazama matokeo yote ya form 4 (O-level), na hizo button nyingine kujua wanafunzi kumi bora kitaifa na shule kumi bora taifa zima.
Kumbuka matokeo haya hayausishi mtihani wa MOCK (MOKO), bali ni CSEE, Certificate For SEcondary Education.

NECTA CSEE RESULTS 2022/2023.
Matokeo ya kidato cha nne, NECTA Form Four Results 2022/2023. National Examination Results Hutolewa na Baraza la mitiani Tanzania. Kwa maelezo yenye ukweli na uhakika zaidi tembelea tovuti ya www.necta.go.tz 2021 csee kupata taarifa sahihi.
Bonyeza button hapo juu iliyo andikwa “TAZAMA HAPA” kutazama matokeo yote ya form 4 secondary (O-level), na hizo button nyingine kujua wanafunzi kumi bora kitaifa na shule kumi bora taifa zima.
- 55shares
- Facebook23
- Twitter32
- Gmail
- Copy Link