Matokeo ya kidato cha sita 2021 yametoka yatazame hapa. NECTA Form Six Results 2021/2022. ACSEE Results has released. Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita.
Pia ufaulu umeongezeka kulinganisha na mwaka jana, Asilimia za ongezeko hilo hizo apo chini.
Matokeo haya ya kidato cha sita yametolewa kwa mpangilio wa mikoa yote na shule zote za serikali pamoja na shule za private(Binafsi).
Kwenye matokeo haya yamejumuisha mkoa wa Tanga, Kilimanjaro, Mbeya, Dar es salaam, Dodoma, Shinyanga, Arusha, Mwanza, Kigoma na mikoa mingine yote Tanzania Bara na visiwani (Zanzibar).
Form Six National Examination Result ACSEE 2021/2022 NECTA.
NECTA FORM SIX RESULTS 2021/2022.

Pia kama ungependa kutazama matokeo ya kidato cha sita kwa miaka iliyo pita yaani kuanzia 2021-2005. Bonyeza hiyo button iliyo andikwa MATOKEO ZAIDI.
TOP TEN STUDENTS FORM SIX ACSEE 2021
Kama ilivyo kawaida, kila matokeo yanapotoka kunakua na wakwanza pamoja na wamwisho. Kufahamu wanafunzi 10 bora kitaifa kwenye matokeo haya bonyeza hiyo button apo chini.
TOP 10 SCHOOLS NECTA FORM SIX RESULTS 2021
Kama ilivyo kwa wanafunzi kumi bora kitaifa, Pia kuna shule ya kwanza na ya mwisho katika matokeo haya ya kidato cha nne, Tizama mpangilio huo kujua Shule kumi bora na kumi zenye ufaulu dhaifu kwa kubonyeza button husika hapo chini.
NECTA ACSEE RESULTS 2022/2023.

Maelezo ya ufaulu yametolewa na Baraza la mitihani Tanzania bara NECTA, na kwa upande wa visiwani yaani ZANZIBAR yametolewa na baraza husika, Tembelea tovuti sahihi, kwa taarifa zenye ukweli na uhakika. Mojawapo ni hiiapa ulioyopo sasahivi.
Tazama shule kumi bora kitaifa na shule kumi zilizo shika mkia. pamaoja na wanafunzi kumi bora kitaifa, katika matokeo ya kidato cha sita, form six National examination result ACSEE 2021/2022.
Bonyeza hiyo button apo juu iliyo andikwa “TAZAMA HAPA” kutazama matokeo yote ya form 6 (A-level), na hizo button nyingine kujua wanafunzi kumi bora kitaifa na shule kumi bora taifa zima.
Kumbuka matokeo haya hayausishi mtihani wa MOCK (MOKO), bali ni ACSEE, Advanced Certificate For Secondary Education Examination.
Matokeo ya kidato cha sita NECTA Form Six Results 2021/2022, Form six National Examination Results Hutolewa na Baraza la mitiani Tanzania. Kwa maelezo yenye ukweli na uhakika zaidi tembelea tovuti ya www.necta.go.tz 2021 acsee kupata taarifa sahihi.
Bonyeza button hapo juu iliyo andikwa “TAZAMA HAPA” kutazama matokeo yote ya form 6 secondary (A-level), na hizo button nyingine kujua wanafunzi kumi bora kitaifa na shule kumi bora taifa zima.
” Swali hili napenda kuuliza sana kwenye kila matokeo yanapotoka (NECTA Form Six Results 2022/2023), Ulipata kauwoga Kiasi Gani. kwakuwa kila mmoja wetu lazima apitie hii hali. “
IVI ULIPOSIKIA MATOKEO YAMETOKA ULIPATA UWOGA KIASI GANI..?
NAFAHAMU HATAKAMA UMEFANYA VIZURI LAKINI KUNAKALE KAUOGA, KILA MMOJA ANAKUANACHO.
YAANI MOYO UNADUNDA “PAAAP” PALE UNAPOSIKIA MATOKEO YAMETANGAZWA, NAZANI UMENIELEWA 😉😉.
NIANDIKIE HAPO CHINI KWENYE COMMENT 💬, MATOKEO Kidato CHA SITA YALIPO TOKA ULIKUA UNAFANYA NINI, NA ULIPATA UWOGA KIASI GANI…
PIA SHARE KWA WENZAKO WAPATE TAARIFA ZA UHAKIKA KAMA HIZI.
- 239shares
- Facebook187
- Twitter52
- Gmail
- Copy Link