in

NECTA Form Two Results: SFNA EXAM Result (2022/2023)

Tazama Matokeo Hapa

Download Mitihani

Matokeo ya kidato cha pili 2021 yametoka yatazame hapa. NECAT Form Two Results 2022. National Examination Results FTNA 2021 was released by NECTA National Examination Council of Tanzania, Kwa mujibu wa baraza la mitihani NECTA, ufaulu umeongezeka kulinganisha na mwaka jana 2020.

Matokeo haya ya kidato cha pili yametolewa kwa mpangilio wa mikoa yote na shule zote za serikali pamoja na shule za private(Binafsi).Kwenye matokeo haya yamejumuisha mkoa wa Tanga, Kilimanjaro, Mbeya, Dar es salaam, Dodoma, Shinyanga, Mwanza, Kigoma na mikoa mingine yote Tanzania Bara na visiwani (Zanzibar).

Form two examination result FTNA 2021/2022 NECTA.

NECTA FORM TWO RESULTS 2022/2021

NECTA Form Two Results 2022-2023

Pia kama ungependa kutazama matokeo ya kidato cha pili kwa miaka iliyo pita yaani kuanzia 2021-2014. Bonyeza hiyo button iliyo andikwa MATOKEO ZAIDI.

TOP TEN STUDENTS FORM TWO FTNA 2021

Kama ilivyo kawaida, kila matokeo yanapotoka kunakua na wakwanza pamoja na wamwisho. Kufahamu wanafunzi 10 bora kitaifa kwenye matokeo haya bonyeza hiyo button apo chini.

TOP 10 SCHOOLS FORM TWO FTNA 2021

Kama ilivyo kwa wanafunzi kumi bora kitaifa, Piaย  kuna shule ya kwanza na ya mwisho katika matokeo haya ya kidato cha pili, Tizama mpangilio huo kujua Shule kumi bora na kumi zenye ufaulu dhaifu kwa kubonyeza button husika hapo chini.

FTNA RESULTS 2021/2022.

MATOKEO KIDATO CHA PILI - NECTA FTNA 2022-2023

Maelezo ya ufaulu umetolewa na Baraza la mitihani Tanzania bara NECTA, na kwa upande wa visiwani yaani ZANZIBAR yametolewa na baraza husika, Tembelea tovuti yake kwa taarifa zenye ukweli na uhakika.

Tazama shule kumi bora kitaifa na shule kumi zilizo shika mkia. pamaoja na wanafunzi kumi bora kitaifa, katika matokeo ya kidato cha pili, NECTA Form Two Results 2022. National examination Result FTNA 2021.

Bonyeza hiyo button apo juu iliyo andikwa “TAZAMA HAPA” kutazama matokeo yote ya form 2 (O-level), na hizo button nyingine kujua wanafunzi kumi bora kitaifa na shule kumi bora taifa zima.

Kumbuka matokeo haya hayausishi mtihani wa MOCK (MOKO), bali ni FTNA, Form Two National Assessment pekee.

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

NECTA Form Six Results

NECTA FORM SIX RESULTS: ACSEE EXAM Result (2022/2023)

NECTA Standard Four Results

NECTA STANDARD FOUR RESULTS: SFNA RESULTS (2022)