in

NECTA STANDARD FOUR RESULTS: SFNA RESULTS (2022)

Tazama matokeo ya darasa la nne 2021 yametoka. NECTA Standard Four Results 2022. Examination Results SFNA has released by NECTA. National examination council of Tanzania has announced standard four results 2021.

Idadi ya wanafunzi kitaifa waliofanya mtihani huu wa darasa la nne.

 

NECTA Standard Four Results

Jumla ya wanafunzi wote Waliofaulu mtihani Taifa zita, mikoa yote ikiwemo Arusha, Tanga, Kilimanjaro, Dar es salaam, Pwani, Mwanza, Shinyanga na mikoa mingine yote Tanzania Bara Pamoja na visiwani (Zanzibar).

Kwa mujibu wa baraza la mitihani NECTA limetangaza ya kwamba ufaulu mwaka huu umeongezeka kulinganisha na mwaka jana (2020).

Matokeo ya Darasa la Nne: NECTA Standard Four Examination Resullts SFNA 2022/2023.

SFNA 2021

Tazama Hapa Matokeo ya darasa la nne kwa miaka iliyo pita kuanzia mwaka huu mpaka mwaka 2015.

Bonyeza hii link hapo chini uweze kutazama…

Hayo ndiyo matokeo ya darasa la nne katika upimaji wakitaifa, vile vile pia kama unataka kujua matokeo ya darasa la nne zanzibar yametoka tembelea katika website ya serikali kupata taarifa sahihi. 

Na kwa wale wanao tafuta matokeo ya darasa la nne ki taifa dar es salaam, kilimanjaro, arusha, mbeya, mwanza, dodoma, Tanga, na mikoa mingine hapa Tanzania unaweza kuyapata kwa kubonyeza hiyo link apo juu

BONYEZA HAPA

na kuchagua mwaka husika kisha uchague shule yako na utaweza kupata matokeo bila usumbufu.

kitu cha msingi ninachoweza kuwakumbusha wanafunzi wote ni kwamba, soma kwa bidii pia fanya juhudi katika mitihani yote ya ndani nda nje ya shule, pamoja na mitihani ya mock (moko) ili uwezekupata matokeo mazuri paleambapo matokeo yakitoka. NECTA Standard Four Results 2022. Matokeo Darasa la nne 2022/2023.

Kama unahitaji kupata material ya kujisomea, vitabu, mitihani pamoja na notes za masomo yote. chagua apo chini darasa lako, kama ujaliona click hii link apa uweze kupata hayo material “TAZAMA HAPA.”

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

NECTA Form Two Results 2022-2023

NECTA Form Two Results: SFNA EXAM Result (2022/2023)

MATOKEO YA UALIMU DSEE

MATOKEO YA UALIMU NECTA: DSEE, DTEE, GATCE, GATSCCE (2022)