in

SAYANSI PAST PAPERS: Darasa la Kwanza hadi la Nne (PDF)

Sayansi Past Papers Darasa la Kwanza, Pili, Tatu na la Nne Mitihani Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure FREE, Kwa Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Sayansi na Teknolojia (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Science and Technology for Standard One, Two, Three and Four.

SAYANSI PAST PAPERS DARASA LA 1,2,3 NA NNE

CURRICULUM AND SYLLABUS SCIENCE.

Mtaala wa Elimu ya Msingi umebainisha mambo mbalimbali ikiwemo umahiri mkuu na umahiri mahususi katika kila somo kwa Darasa la III-VII. Muhtasari wa Sayansi na Teknolojia umewasilisha baadhi ya vipengele vya mtaala ambavyo ni malengo ya Elimu ya Msingi, umahiri wa Elimu ya Msingi, malengo ya Somo la Sayansi na Teknolojia, umahiri mkuu na mahususi, ufundishaji na ujifunzaji wa Somo la Sayansi na Teknolojia na upimaji wa ujifunzaji.

Download “SAYANSI SFNA - SYLLABI” Syllabus-Science-and-Technology-S.3-7-2019-Kiswahili.pdf – Downloaded 202 times – 888.15 KB

 SAYANSI NA TEKNOLOJIA PAST PAPERS DARASA LA 1-4

Download Past Papers Mitihani ya Sayansi (Science and Technology). Hapo chini, Kama unatumia Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App. Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF kama Hauna Download hapa.

Ku Download Sayansi Past Papers (Mitihani) Hizi apo chini, ni Rahisi sana. Bonyeza File Kama unatumia. Computer uta Click Button iliyoandikwa Download. Kwa Watumiaji wa Smart Phone Utabonyeza. Pia Hiyo Button yenye maneno yaliyo andikwa download Mbele ya jina la mtihani. nautakuwa umesha Pakua mtihani wako kirahisi katika jedwali hili.

NECTA EXAM PDF FILE
SFNA-2009 Download
SFNA-2012 Download
SFNA-2014 Download
SFNA-2017 Download
SFNA-2018 Download
SFNA-2019 Download

VITABU VYA SAYANSI NA TEKNOLOJIA DARASA LA NNE, TATU, PILI NA LA KWANZA.

Download Vitabu (Books) vya Somo la Sayansi na Teknolojia (Science and Technology). Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa. wa tovuti (Website) hii ya Africona. Sayansi Past Papers free download pdf. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.

Download “SAYANSI SFNA - SCHOOL - 2019” SAYANSI-S4-NOV-2019.pdf – Downloaded 172 times – 64.13 KB

EXAM PACKAGES PDF FILE
SFNA-PACK-1 Download
SFNA-PACK-2 Download
SFNA-PACK-3 Download
SFNA-PACK-4 Download
SFNA-PACK-5 Download

HITIMISHO KUHUSU SOMO LA SAYANSI (Science and Technology).

Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la Science and Technology. Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea. pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana. Sayansi Past Papers free download pdf Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini.

Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani ya Sayansi. Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.

TUMA MTIHANI

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

URAIA NA MAADILI PAST PAPERS DARASA LA 1,2,3 NA NNE

URAIA NA MAADILI PAST PAPERS: Darasa la Kwanza hadi la Nne (PDF)

MITIHANI YA KISWAHILI NA VITABU

MITIHANI YA KISWAHILI NA VITABU: Darasa la Tano Hadi Saba (PDF)