in

SMS ZA VICHEKESHO Vunja Mbavu: Maneno ya Kuchekesha 😂.

SMS ZA VICHEKESHO VUNJA MBAVU - MANENO YA KUCHEKESHA

Written by Admin

Space is for everybody. It’s not just for a few people in science or math or a select group of astronauts. That’s our new frontier out there, and it’s everybody’s business to know about space.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

 1. Hii ni Baadhi ya Misemo Niliyo Kutana Nayo Kwenye dala dala za Hapa Arusha

  “MCHAWI MTU, PAKA KATUMWA”
  “Toa zaka , hujarogwa!”
  “Tafuta hela upunguze kujieleza”
  “Punguza maua kwenye harusi ongeza kuku”
  “Tafuta hela maharage kwenye gesi yanaiva”
  “Tafuta Hela wanawake wote wapo singo”
  “Chafya ya mpishi ni kiungo kwa walaji”
  “Mkanye mkeo gari sio yangu”
  “Punguza wema binaadamu hawana kumbukumbu”
  “Kunenepa wakati na kudai ni dalili ya zarau.”
  “Utajir hauambukizwi kwa njia ya ngono, piga kazi acha kudanga😂😂😂😂”
  “Tafuta pesa usilaumu ndugu”

MATOKEO KIDATO CHA SITA - NECTA ACSEE Form Six Examination results 2023-2024

NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita: Form Six Exam Results (2023)

Meseji za Mapenzi

SMS ZA MAPENZI: Meseji za kuvutia kwa Mpenzi Wako