Stadi za Kazi Past Papers (Vocational Skills) Darasa la Kwanza, Pili, Tatu na la Nne Mitihani Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure FREE, Kwa Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Stadi zakazi (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Vocational Skills for Standard One, Two, Three and Four Enjoy 😊.
CURRICULUM AND SYLLABUS FOR VOCCATIONAL SKILLS.
Muhtasari wa Somo la Stadi za Kazi umeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu ya Msingi wa mwaka 2015, toleo la tatu la mwaka 2019. Muundo wa sasa wa Somo la Stadi za Kazi ulianza mwaka 2016. Katika mwaka huo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilibadilisha namna ya kufundisha somo hili.
Mabadiliko yaliyojitokeza katika ufundishaji na ujifunzaji wa somo hili ni pamoja na kufundisha stadi mbalimbali kwa ujumla wake badala ya ufundishaji wa kimasomo kama ilivyokuwa hapo awali. Tafiti zinaonesha kuwa kabla ya mwaka 2016, ufundishaji wa kimasomo ulisababisha wanafunzi kupata maudhui kwa vipande vipande hivyo kushindwa kujenga umahiri uliotarajiwa.
STADI ZA KAZI PAST PAPERS DARASA LA 1-4
Download Stadi zakazi Past Papers (Vocational Skills Studying Materials PDF) Hapo chini, Kama unatumia Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF kama Hauna Download hapa.
Ku Download Past Papers (Mitihani) Hizi apo chini, ni Rahisi sana. Bonyeza File Kama unatumia Computer uta Click Button iliyoandikwa Download. Kwa Watumiaji wa Smart Phone Utabonyeza Pia Hiyo Button yenye maneno yaliyo andikwa download Mbele ya jina la mtihani nautakuwa umesha Pakua mtihani wako kirahisi.
EXAM PACKAGES | PDF FILE |
---|---|
SFNA-PACK-1 | Download |
SFNA-PACK-2 | Download |
SFNA-PACK-3 | Download |
SFNA-PACK-4 | Download |
SFNA-PACK-5 | Download |
VITABU VYA STADI ZA KAZI DARASA LA NNE, TATU, PILI NA LA KWANZA.
Download Vitabu (Books) vya Somo la Stadi zakazi (Vocational Skills) Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.
HITIMISHO
Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la Vocational Skills (Stadi za kazi). Stadi za Kazi Past Papers Free PDF. Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana. Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini.
Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani (Past Papers). Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.
- 87shares
- Facebook64
- Twitter23
- Gmail
- Copy Link