in

UJUGU NA POLISI KIMEUMANA: Cheka Tu Uongeze Maisha

UJUGU NA POLISI KIMEUMANA. Cheka tu Uongeze Mashavu ndugu. Usinune Maisha yenyewe ndo Haya, Unanuna Wengine Wana ku cheka. Mambo gani Haya yanini Kuchekesha watu kwa Uzuni wako. Furahiiii… 😊

Kwa Sms za Vichekesho na Mada Pamoja na Statu za Vichekesho. Follow me @japhary for Daily Happiness. Nimeanza English Course jana, Usishangae icho kidhungu apo 😁.

UJUGU NA POLISI KIMEUMANA - VICHEKESHO

VICHEKESHO UJUGU NA POLISI KIMEUMANA.

Polisi: hodi, hodi.
Ujugu: kimya…
Polisi: hodi, Wenyewe.
Ujugu: we nani kwani..?
Polisi: sisi polisi.
Ujugu: mnataka nini..?
Polisi: kuongea na wewe.
Ujugu: kuongea na mimi..?!
Polisi: ndio.
Ujugu: mko wangapi..?
Polisi: tuko watatu 👮🏽‍♂️👮🏽‍♂️👮🏽‍♂️.
Ujugu: kama mko watatu si muongee wenyewe…!!!

Sijajua Polisi Waliingiaje Hapo Ndani. ila Hapa tunavyo Ongea Ujugu Kalazwa Hospitali. Anasubiriwa Apate nafuu aendelee na Mahojiano.

Hicho ndicho Kilicho mkuta Ujugu. Kweli ukisikia Kimeumana Kweli Kimeumana. Tujifunze Kuwa na Kauli nzuri, Tutakuja Kufa ivi ivi kisa mdomo.

Nijulishe Hapo Chini Kwenye Comment ungependa Vituko kama Hivi, au Kwenye Hivi Vichekesho tuongeze Kipi Tu Punguze Kipi. Nawatakia Tabasamu lenye furaha 😊😊.

Written by Admin

Space is for everybody. It’s not just for a few people in science or math or a select group of astronauts. That’s our new frontier out there, and it’s everybody’s business to know about space.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

HUYU AFANDE KWELI ANACHEKESHA - CHEKA TU

VICHEKESHO VUNJA MBAVU: Huyu Afande Kweli Anachekesha

UNGEKUWA PADRI UNGEFANYAJE - CHEKA TU

SIMULIZI ZA VICHEKESHO: Ungekuwa Huyu Padri Ingekuwaje?