in

URAIA NA MAADILI PAST PAPERS: Darasa la Kwanza hadi la Nne (PDF)

Uraia na Maadili Past Papers Darasa la Kwanza, Pili, Tatu na la Nne Mitihani Mbalimbali Pamoja na Vitabu Utavipata Hapa Bure FREE, Kwa Mfumo wa PDF Bila usumbufu wowote. Pia utapata na Mtaala wa Mwaalimu wa Kufundishia Somo la Uraia na Maadili (Syllabus) Kutoka Tanzania Institute of Education (TIE). Civic and Moral Education Standard One, Two, Three and Four Enjoy 😊.

URAIA NA MAADILI PAST PAPERS DARASA LA 1,2,3 NA NNE

CURRICULUM & SYLLABUS

Muhtasari wa Somo la Uraia na Maadili umeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu ya Msingi mwaka 2015, toleo la tatu mwaka 2019, wenye kuzingatia ujenzi wa umahiri kwa mwanafunzi. Somo la Uraia lilikuwa linafundishwa katika shule za msingi tangu uhuru kama Somo la Siasa. Mwaka 1996, Somo la Siasa liliunganishwa kwenye Somo la Maarifa ya Jamii. Mwaka 2007, Somo la Uraia lilianza kufundishwa kama somo linalojitegemea.

Download “- IN SWAHILI” Syllabus-Civic-and-Moral-Education-S.3-7-2019-Kiswahili.pdf – Downloaded 301 times – 1.09 MB

Download “- IN ENGLISH” Syllabus-Civic-and-Moral-Education-S.3-6-2016-English.pdf – Downloaded 34 times – 869.68 KB

TAARIFA YA UCHAMBUZI WA MAJIBU YA WANAFUNZI KATIKA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2019

Taarifa hii ni ya Uchambuzi wa Majibu ya Wanafunzi katika Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne kwa somo la Uraia na Maadili 2019. Imeandaliwa kwa lengo la kutoa mrejesho kwa wanafunzi, walimu, watunga sera na wadau wengine wa elimu kuhusu maarifa, stadi na mielekeo ambayo wanafunzi waliweza kupata au kutopata katika kipindi cha miaka minne ya Elimu ya Msingi. Mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne kwa mwaka 2019 katika somo hili ulitayarishwa kwa
kuzingatia mabadiliko ya Mtaala wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la III hadi IV wa mwaka 2016.

Download “TAARIFA YA UCHAMBUZI SOMO LA URAIA - 2019” Uraia-Maadili-2019.pdf – Downloaded 27 times – 1.52 MB

URAIA NA MAADILI PAST PAPERS DARASA LA 1-4

Download Mitihani ya Uraiya na Maadili (Social Studies Past Papers Free PDF) Hapo chini. Kama unatumia Simu (Smart Phone) Hakikisha unayo App Kwaajili ya Kusomea Mafile ya PDF kama Hauna Download hapa.

EXAM PACKAGES PDF FILE
SFNA-PACK-1 Download
SFNA-PACK-2 Download
SFNA-PACK-3 Download
SFNA-PACK-4 Download
SFNA-PACK-5 Download

Ku Download Past Papers (Mitihani) Hizi apo chini, ni Rahisi sana. Bonyeza File Kama unatumia Computer uta Click Button iliyoandikwa Download. Kwa Watumiaji wa Smart Phone Utabonyeza Pia Hiyo Button yenye maneno yaliyo andikwa download Mbele ya jina la mtihani nautakuwa umesha Pakua mtihani wako kirahisi.

VITABU VYA URAIA NA MAADILI DARASA LA NNE, TATU, PILI NA LA KWANZA.

Download Vitabu (Books) vya Somo la Uraiya na Maadili Hapo chini. Vitabu vitakua vinaongezwa kulingana na mahitaji yenu Nyie watumiaji wetu wapendwa wa tovuti (Website) hii ya Africona. Social Studies Past Papers Free PDF. Hivyo usisite kutuma maombi ya kitabu unacho hitaji, Unachotakiwa kukifanya ni ku Comment Hapo chini jina la Kitabu na Sisi tutakiweka.

HITIMISHO KUHUSU SOMO LA URAIA NA MAADILI.

Katika Post Hii tumekuwekea Mitihani, Vitabu na majaribio mbalimbali ya Somo la Uraia na Maadili. Sio vibaya na wewe kama uta share Material yako ya Kujisomea pamoja nasi itakua nijambo la Kiungwana sana. Ku share Material Pamoja nasi Bonyeza Hiyo Button Apo chini.

Unaweza kutuma File la PDF au Picha za Mitihani (Past Papers). Pia kama Unaswali Lolote linalo husiana na masomo tuandikie Hapo chini kwenye Comment nasi tutakujibu swali lako.

TUMA MTIHANI

Written by Teacher Pizo

My Name is Teacher Pinael Zakaria Olais. Wengi wamezoea Kuniita Teacher Pizo. Nipo Hapa Kuwasaidia wanafunzi katika Masomo yao. Niandikie Swali lako Hapo Kwenye Comment nami Nitakujibu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KISWAHILI PAST PAPERS DARASA LA 1,2,3 NA NNE

KISWAHILI PAST PAPERS: Darasa la Kwanza hadi la Nne Free (PDF)

SAYANSI PAST PAPERS DARASA LA 1,2,3 NA NNE

SAYANSI PAST PAPERS: Darasa la Kwanza hadi la Nne (PDF)