Tazama Matokeo Hapa
Download Mitihani
Vituko Acheni Tamaa Mabinti Mtakuja ata Kupata Aibu, Muaibishwe Bure. Unataka kujua Kilicho Mkuta Huyu Dada Soma Mpaka Mwisho. Kwani Dada Mwenyewe anasemaje..? Shuka Chini Utapata majibu
Usisahau kuni Follow @japhary kwa Vichekesho na Mada Mbalimbali za Kuvutia. 😊
VITUKO : MABINTI ACHENI TAMAA.
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya Mjini Karibu na A.T.M Moja Maarufu hapa Mjini Dar es Salaam. gafla akamuona jamaa wake anaelekea Katika A.T.M.
Binti akaamua kujificha na kumtumia jamaa yake sms ya kimahaba
BINTI:”Mpenz kama upo nyumbani umelala naomba unitumie ndoto zako, Kama unakula nitumie chakula, Kama unacheka nitumie kicheko chako, Kama unalia nitumie machozi yako, Kama unatoa pesa kwenye A.T.M nitumie pesa.” jamaa akajibu
JAMAA:”NIKO CHOONI LABDA NIKUTUMIE USHUZI MPENZI..!
Kilicho endelea Hapo Sijui Wajumbe, ila kwa zachinichini na Sikia Jamaa ameachwa.
Hivi ndivyo Vichekesho Vunja mbavu. Kwa Vituko Vingine Soma Hapo chini utapata.
Nawatakia Tabasamu lenye furaha 😊😊.
- 263shares
- Facebook204
- Twitter59
- Gmail
- Copy Link